Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kilio cha watu wazima kaka π
Nilipo mimi , mimi na wachina wote tunawategemea wazunguπKilio cha watu wazima kaka π
Miaka 10 iliyopita hatukutegemea Wazungu wangemlilia Mchina hivi
Wapi huko tajiri?Nilipo mimi , mimi na wachina wote tunawategemea wazunguπ
Kwa hiyo Macron na Carney wanatupanga? πNinapo fanya kazi vermontπ
Mno bwashee ππKwa hiyo Macron na Carney wanatupanga? π
Kwa hiyo tukusikilize wewe mkuu sio? πMno bwashee ππ
wewe mwenyewe tu bwashee ππ ila unavyo wapaisha wachina huwa nacheka sana.Kwa hiyo tukusikilize wewe mkuu sio? π
Baada ya kukua ni kuzeeka. Tayari Marekani ni taifa babu na China ni Taifa kijana kiuchumi.Kilio cha watu wazima kaka π
Miaka 10 iliyopita hatukutegemea Wazungu wangemlilia Mchina hivi
China is strongest economy and will be the strongest kuliko hiyo dola inayoanguka sasa hivi. China wapo mbele sana, hawaongei sana kama huyo mwenda wazimu wao ni kazi tu. Bravo China.Nilipo mimi , mimi na wachina wote tunawategemea wazunguπ
SawaChina is strongest economy and will be the strongest kuliko hiyo dola inayoanguka sasa hivi. China wapo mbele sana, hawaongei sana kama huyo mwenda wazimu wao ni kazi tu. Bravo China.
Wanastahili, by the way kuna mengi ya kujifunza kwa mataifa mengine hasa ya Africa kutoka kwa Wachina jinsi walivyopambana mpaka hapo walipofikia bila kuvamia nchi zingine na kupora kama Wazunguwewe mwenyewe tu bwashee ππ ila unavyo wapaisha wachina huwa nacheka sana.
KwelWanastahili, by the way kuna mengi ya kujifunza kwa mataifa mengine hasa ya Africa kutoka kwa Wachina jinsi walivyopambana mpaka hapo walipofikia bila kuvamia nchi zingine na kupora kama Wazungu
Kwa nini ameshindwa kwenda?Imeniuma Samia KUTOKUENDA huko davos ili kuwatafutia soko la ulaya wawekezaji wa maembe kutoka Tanzania.
Lakini Vermont ni State ambayo ni "very white" kwa maana hiyo sio rahisi influence ya mchina kusomekawewe mwenyewe tu bwashee ππ ila unavyo wapaisha wachina huwa nacheka sana.
Yeah upo sahihi na maine piaLakini Vermont ni State ambayo ni "very white" kwa maana hiyo sio rahisi influence ya mchina kusomeka