Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

Ninachokiona ni "fatigue" ya mataifa yaliyokuwa loyal kwa US kuuchoka ubabe wa Trump. Kwa mfano angalia issue ya Soya. Trump aliifanya China isione haja ya kuagiza soya ya Marekani. Roho mbaya tuu. Sasa Brazil ndiye anayeuza soya China. Hata issue ya Venezuela ni kumkomoa Mchina.
Sehemu kubwa ya mafuta ya Venezuela mteja mkubwa ni China

Imagine China ikajitoa kununua mafuta ya Venezuela nani ataireplace China?
 
Mi nahisi anachokitaka Trump ni kum-frustrate mchina kuhusu supply chain ya mafuta ya Venezuela kama jamaa alivyomkaba koo kwenye rare earth minerals. Naona kwenye Soya Marekani yuko hoi anakusanya masoko mbadala sbb Mchina kahamia Brazil😅😅
 
China hawekezi nje anaogopa watu wake kukosa ajira.
Umewahi kufuatilia FDI iliyofanywa na makampuni ya China barani Ulaya?

Kwenye kuteka soko la dunia kampuni haziangalii tu kuzalulisha ndani ya nchi yake

Wanawekeza kwingine ili kutanua wigo wa soko au kumeet terms and conditions ya nchi au bara husika
 
Ninachokiona ni "fatigue" ya mataifa yaliyokuwa loyal kwa US kuuchoka ubabe wa Trump. Kwa mfano angalia issue ya Soya. Trump aliifanya China isione haja ya kuagiza soya ya Marekani. Roho mbaya tuu. Sasa Brazil ndiye anayeuza soya China. Hata issue ya Venezuela ni kumkomoa Mchina.
Trump ni mwendawazimu

Kadiri anavyoleta ubabe na vitisho ndivyo mataifa yanazidi kujisogeza upande wa China
 
Back
Top Bottom