Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

Sehemu kubwa ya mafuta ya Venezuela mteja mkubwa ni China

Imagine China ikajitoa kununua mafuta ya Venezuela nani ataireplace China?
 
Mi nahisi anachokitaka Trump ni kum-frustrate mchina kuhusu supply chain ya mafuta ya Venezuela kama jamaa alivyomkaba koo kwenye rare earth minerals. Naona kwenye Soya Marekani yuko hoi anakusanya masoko mbadala sbb Mchina kahamia Brazil😅😅
 
China hawekezi nje anaogopa watu wake kukosa ajira.
Umewahi kufuatilia FDI iliyofanywa na makampuni ya China barani Ulaya?

Kwenye kuteka soko la dunia kampuni haziangalii tu kuzalulisha ndani ya nchi yake

Wanawekeza kwingine ili kutanua wigo wa soko au kumeet terms and conditions ya nchi au bara husika
 
Trump ni mwendawazimu

Kadiri anavyoleta ubabe na vitisho ndivyo mataifa yanazidi kujisogeza upande wa China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…