Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Huko Canada, kuna ubunifu mpya ambapo mtu anaweza kuchagua aina ya mti au maua yatakayooteshwa juu ya masalia ya mwili wake baada ya kifo. Kampuni moja imebuni makasha maalum biodegradable ambayo huwekwa masalia ya mwili baada ya kuchomwa.
Pichani ni moja ya kasha la kuhifadhia majivu ya mwili wa binadamu
Pichani ni moja ya kasha la kuhifadhia majivu ya mwili wa binadamu
MSN
www.msn.com