Wataabudu hiyo miti.I agree. Hii hoja ikifanikiwa hapa kwetu, hakuna tena watu kwenda kuabudu maiti na makaburi.
Huwa nawaza Kuna muda tutakosa mahali pa kuzika watu!?I agree. Hii hoja ikifanikiwa hapa kwetu, hakuna tena watu kwenda kuabudu maiti na makaburi.
Kule china Wana choma na still Wana abudu majivu Yana hifadhiwq sehemu halafu wana family huwenda hapo na kuchoma udi na kuomba spirit, so hiyo njia mpya Bado haitoweza kuzuia Hilo lisiweze kuwepoI agree. Hii hoja ikifanikiwa hapa kwetu, hakuna tena watu kwenda kuabudu maiti na makaburi.
Makaburi ya Kinondoni sasa hivi watu wanazika kwenye makaburi ya zamani ambayo hayana alama.Huwa nawaza Kuna muda tutakosa mahali pa kuzika watu!?
Na mimi nikifa nataka kuwa mvuleHuko Canada, kuna ubunifu mpya ambapo mtu anaweza kuchagua aina ya mti au maua yatakayooteshwa juu ya masalia ya mwili wake baada ya kifo. Kampuni moja imebuni makasha maalum biodegradable ambayo huwekwa masalia ya mwili baada ya kuchomwa.
View attachment 2284527
Pichani ni moja ya kasha la kuhifadhia majivu ya mwili wa binadamu View attachment 2284533
Tayari tumeshafika muda huo. Mbona kwingi tu tunashuhudia hamisha hamisha ya makaburi? Hiyo ni dalali tosha. Kwa wenzetu ndiyo usiseme.Huwa nawaza Kuna muda tutakosa mahali pa kuzika watu!?
Uzuri wa miti inakua na kukatwa. Tofauti na makaburi yanayopaliliwa miaka nenda rudi. Mti ukikatwa, mtu aliyekuwa akiabudu kaburi ataamini mizimu imetoweka pamoja na mti uliokatwa.Wataabudu hiyo miti.
Huh? By the time tunazama full throttle kwenye muda huo, miti itakuwa na kazi moja tu ya kupunguza kidogo gharama za kununua Oksijeni kutoka kwa Mrusi.Wengne humu tutawafanya sanitary towel (tampon) au toilet paper kutokana na maeneo waliyozoea kushinda wakiwa hai
Kwani unaogopa kuwa mpapai kwa sababu wenyewe unapatwa na virusi vya korona?Na mimi nikifa nataka kuwa mvule
Time traveller? Nichekie bei ya Mercedes Benz solar powered ya mwaka 2198Huh? By the time tunazama full throttle kwenye muda huo, miti itakuwa na kazi moja tu ya kupunguza kidogo gharama za kununua Oksijeni kutoka kwa Mrusi.
Havitakuwepo tena vichaka kama unavyodhani. Njoo hapa 2090 usome hii comment, utanielewa.
Long outdated technology by then. Magari yatakuwa kama usafiri wa Roman Empire wakati huo--farasi. Watu watakuwa wanavinjari to and from Mars, Moon, na sayari zingine kwa kutumia lightning-electromagnetized kind of rockets, zitakazokuwa stealth, advanced, and completely revolutionary and modernized.Time traveller? Nichekie bei ya Mercedes Benz solar powered ya mwaka 2198
Halafu kuliwa [emoji23]Kwani unaogopa kuwa mpapai kwa sababu wenyewe unapatwa na virusi vya korona?
Wengi wanaoamini kwamba kuna kupewa ^kauli thabiti^ huko kaburini, sijui peponi, ndio wataoshida ya kuichoma moto maiti.Shda kuchomwa moto dah...