Canada: Wanne wakutwa wamefariki kwenye theluji wakijaribu kuingia Marekani

Canada: Wanne wakutwa wamefariki kwenye theluji wakijaribu kuingia Marekani

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Polisi Canada wameipata miili ya watu wanne akiwemo mtoto mchanga, katika eneo la uwanja mkubwa uliopo kwenye mpaka wa Canada na Marekani.

Watu hao walipatikana wakiwa wamekufa katika theruji walipokuwa wakijaribu kuingia nchini Marekani kinyume cha sheria.

Imetambuliwa kuwa familia iliyoangamia kwenye theruji ilikuwa ni ya Dingucha, raia wa India kutoka Gujarat Kaskazini iliyokuwa imekwenda ng;ambo na kupotea.Serikali ya India haijatoa kauli bado kuhusiana na tukio hilo.

Hatahivyo Waziri wa mambo ya nje wa India alituma ujumbe wa Twitter akielezea kusikitishwa kwake na tukio lililotokea kwenye mpaka wa Canada.

Chanzo: BBC
 
Back
Top Bottom