CANADA: Waziri Mkuu atalikiana na mkewe baada ya Miaka 18 ya ndoa

CANADA: Waziri Mkuu atalikiana na mkewe baada ya Miaka 18 ya ndoa

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ndoa ya Waziri Mkuu wa Canada imefikia ukomo baada ya Miaka 18 toka ilipofingwa mwaka 2005.
---

Justin Trudeau and his wife Sophie Gregoire-Trudeau have announced they are separating after 18 years of marriage.

The Canadian prime minister, 51, said in an Instagram post that the decision was made after "many meaningful and difficult conversations".

Mr Trudeau and the 48-year-old former model and TV host married in late May 2005 and have three children - Xavier, 15, Ella-Grace, 14, and nine-year-old Hadrien.

He said in a statement: "Sophie and I would like to share the fact that after many meaningful and difficult conversations, we have made the decision to separate.

"As always, we remain a close family with deep love and respect for each other and for everything we have built and continue to build."
 
Waziri Mkuu wa Canda Bw.Justin Trudeau na Mkewe Sophie Yamewashinda huko baada ya Kutangaza kuachana rasmi Kwa kike wakichoita maamuzi ya pamoja na kuomba faragha Yao itunzwe Kwa heshima ya Watoto wao 3.

Ndani ya miaka 10 tuu kwenye Ndoa hoi.Kiufupi ndio inazidi kuwa ndoano Kwa watu Maarufu.

Baadhi ya waliobwaga manyanga kwenye Ndoa ni

1.Vladimir Putin
2.Bill Gates
3.Justin Trudeau
Hao ni wachache kati ya wengi.
Ushauri Kwa Vijana,Usioe mwanamke mnaefanana au kukaribiana kufanana Kwa cheo au umaarufu au kipato ama Elimu ,utakuja kunishukuru.

My Take
Ukiwa kwenye Ndoa jifunze kuwa na furaha Yako binafsi pasi kutegemea furaha kutoka kwa mwingine Ili siku yakikufika uweze ku move on kama kawaida.
Screenshot_20230803-081652.jpg
 
Hawa nao wamezidi! Kuachana kwenye ndoa ni kitu ambacho hatakiwi binadamu kukifikiria sembuse kutenda.
Kabisa lakini shida watu wanaficha Tabia zao kabla ya ndoa.
Pia Pana watu wanatabia ngumu kuishi nao utafanyaje.
Ipo kwa wote mfano mke/ mme ni
.Mgomvi,Hana hasira, mtukanaji mbele ya watu na watoto,mkali, vurugu hapendi amani upenda makelele,ugeuza nyumba kuwa jela akiwepo Sio paka mtoto mme mke dada wa kazi anakuwa na amani siku hio,mkaidi nk.
Maana ni hatari kwa usalama wa afya yako na itakupelekea kupata magonjwa yatokanayo na stress.
Huyu umefunga nae ndoa mtu Kama huyu anaetishia usalama wa afya yako ya akili unaweza vipi ishi nae.
Ni kwel kuacha Sio jambo jema lakini kwa tabia hizi unavumiliaje.
Maana ndoa ni vitu vitatu utii, heshima na upendo.
Na hivi vitu vitatu haviwezi kaa kwenye Tabia mbovu sababu ya malezi mabovu.
 
Difficult conversations,nimeamini

Tazama watoto umri wao ,wakwanza na wapili umri wao unapishana mwaka mmoja ,lakini mtoto watatu anamiaka 9 kapishana na mwezake miaka mitano

Shida hapa ,waziri mkuu alijikita zaidi kwenye majukumu ya kisiasa wakati mkewe muda mwingi akisubiria kujukumishwa kitandani na mumeo bila mafanikio

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom