PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ndoa zao zinawafanya wanaume kuwa watumwa. Suluhu pekee huwa ni divorce ingawa nayo kama mwanaume hakujipanga huweza kufikia kukuacha homeless or lonely and frustrated.Kabisa lakini shida watu wanaficha Tabia zao kabla ya ndoa.
Pia Pana watu wanatabia ngumu kuishi nao utafanyaje.
Ipo kwa wote mfano mke/ mme ni
.Mgomvi,Hana hasira, mtukanaji mbele ya watu na watoto,mkali, vurugu hapendi amani upenda makelele,ugeuza nyumba kuwa jela akiwepo Sio paka mtoto mme mke dada wa kazi anakuwa na amani siku hio,mkaidi nk.
Maana ni hatari kwa usalama wa afya yako na itakupelekea kupata magonjwa yatokanayo na stress.
Huyu umefunga nae ndoa mtu Kama huyu anaetishia usalama wa afya yako ya akili unaweza vipi ishi nae.
Ni kwel kuacha Sio jambo jema lakini kwa tabia hizi unavumiliaje.
Maana ndoa ni vitu vitatu utii, heshima na upendo.
Na hivi vitu vitatu haviwezi kaa kwenye Tabia mbovu sababu ya malezi mabovu.
Upande mwingine tatizo la ndoa hata kwa Tanzania na Afrika ndoa zipo tu zimejiegesha kama nyumba za miti ambayo ndani imeshaliwa na mchwa.