CANADA: Waziri Mkuu atalikiana na mkewe baada ya Miaka 18 ya ndoa

Ndoa zao zinawafanya wanaume kuwa watumwa. Suluhu pekee huwa ni divorce ingawa nayo kama mwanaume hakujipanga huweza kufikia kukuacha homeless or lonely and frustrated.
Upande mwingine tatizo la ndoa hata kwa Tanzania na Afrika ndoa zipo tu zimejiegesha kama nyumba za miti ambayo ndani imeshaliwa na mchwa.
 
Duh! .. hatari kweli kweli
 
Ndoa ni tamu Mwanzoni nichungu katikati hapa watoto wamekuja ni raha baada ya watoto kukua nichungu tena wakati wa uzee pale watoto wanapomwangalia mama tu na wewe mwanaume unakuwa mkiwa
 
Kweli ndoa changamoto, ukisema uvumilie watakukuta siku moja umejitundika na kujinyonga au umejirusha ghorofani.


Ni kazi sana kuishi na mtu mmekutana Ukubwani tena kutoka kwenye background tofauti.

Ni neema ya Mungu pekee inahitajika 🙏
 
Uzuri hawa wenzetu wakitengana wanakuwa wamekubaliana wote wawili kuwa sasa mapenzi yameisha ni muda wa kupeana nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…