Canada imewasilisha ombi la kushtukiza usiku wa kuamkia leo la kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, likichochewa na matamshi ya Donald Trump kuhusu kuifanya nchi hiyo kuwa jimbo la 51 la Marekani.
Wakati Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alipoangalia kisanduku pokezi chake asubuhi ya leo, hakutarajia kupata barua pepe kutoka kwa Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau iliyoandikwa 'HARAKA'.
Le Chou: Canada Applies For EU Membership
HIyo request walikutumia kwenye email yako?
Tufanye uongo wako ni kweli, kumbuka
Uingereza alishaamua kujitoa huko.
Pia unadhani kuna kitu ataipunguzia US? Maana Canadians are more Europeans than Americans, halafu bado soko la Marekani na vinginevyo ataendelea kumtegemea Marekani.
Halafu huko Ulaya ni kwa vile mliwazoea leftwings ndiyo wanaongoza, msichojua wengi ni kwamba Rights wing wa Ulaya hata Trump anasubiri na sasa hivi rightwings ndiyo wanakuja kuikamata Ulaya ili waisafishe na kuirudisha mijitu na mitoto yao kwenye misingi na asili.
Hivyo ikitokea Canada amekubaliwa, ajiandae tena kuomba kurudi kujiunga na Marekani. Kwanza haiwezi kuwa overnight, kuna nchi zimetuma maombi yapo kwenye foleni miaka kibao.
Wait a minute, hivi unajua kwamba mwezi ujao a Key EU member Ujerumani anafanya uchaguzi na Chama amnacho ni far-right, Elon Musk-endorsed ndiyo kinaongoza polls?
Ujerumani wanaelekea kuungana na wapiga kura wa Italy, Austria, Belgium, Jamhuri ya Czech, Hungary, Finland, Poland, Norway, Netherlands na Ufaransa ambao wote wamechagua rightwings na wanaunga mkono sana style ya uongozi na maamuzi ya Trump