Canada yapiga marufuku uhamiaji holela

Canada yapiga marufuku uhamiaji holela

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Waziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu ameyasema hayo leo kwenye Mtandao wa X.Wananchi wengi wa Canada wamempongeza kwa hatua hiyo.

Wachunguzi wengine wa mambo wanasema ni Pressure za Raisi mteule wa Marekani Donald Trump.
Source: X

43e977ca-fbb7-486e-9238-cc256f728130.jpg

Waziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu
Soma pia👇

Video: Kuna misikiti zaidi ya 500 huko Canada, kwanini hawa watu wanaswali barabarani?
 
Wazungu wana udhaifu mkubwa sana wa kuwa wakarimu kupitiliza kwenye kupokea wahamiaji, kukiwa kuna vita sehemu flani wapo tayari kupokea wakimbizi milioni, watu wakizamia bila vibali wanawachukua, n.k.

Ni suala la muda tu kuna siku watajikuta nchi zimepinduliwa na wageni na hawana cha kufanya, sheria zao zinafutwa wanaanza kuongozwa na wageni.
 
Huwa wanawapokea kwa kujisikia aibu maana wao ndio huwa chanzo Cha kuchafua nchi husika, mfano Libya, syria, Iraq kipindi hakuna vita nani alikuwa anahama kwenda kwa wazungu
 
Wapumbavu nyinyi wafia dini
Anamanaisha wahamiaji wa maelfu kwa maelfu wanaotoka latin america na hawa ni wakrito wenzao kama hamjui buffoons!
Hivi mnajua hata idadi ya latinos wanaoingia canada kwa siku ?
Mnakwazika sana kuona hao waarabu wanafika ulaya wakati nyinyi na kupenda dini yao hampati viza
 
Wakristo hata waamie kwa mamillion hawana shida! Shida ni wavaa makobasi! Hata akihamia mmoja ni shida! Niliwahi kufanyakazi sehemu akaja kuajiliwa mvaa kobasi mmoja! Katika vikao vya wafanyakazi akaomba apewe ofisi ya kuswalia swala zake 7 !
 
Wakristo hata waamie kwa mamillion hawana shida! Shida ni wavaa makobasi! Hata akhamia mmoja ni shida! Niliwahi kufanyakazi sehemu akaja kuajiliwa mvaa kobasi mmoja! Katika vikao vya wafanyakazi akaomba apewe ofisi ya kuswalia swala zake 7 !
Hulka zao zinaambana na amri anaweza akaomba kivyo ila ndio km ameshawaamrisha hivyo..hatari sana hizi dini.
 
Wakristo hata waamie kwa mamillion hawana shida! Shida ni wavaa makobasi! Hata akhamia mmoja ni shida! Niliwahi kufanyakazi sehemu akaja kuajiliwa mvaa kobasi mmoja! Katika vikao vya wafanyakazi akaomba apewe ofisi ya kuswalia swala zake 7 !
Huyu wa swala saba alimzidi ata mudi kwa kuswali
 
Huwa wanawapokea kwa kujisikia aibu maana wao ndio huwa chanzo Cha kuchafua nchi husika, mfano Libya, syria, Iraq kipindi hakuna vita nani alikuwa anahama kwenda kwa wazungu
Hivi Libya na Syria vita ilianzishwa na Wazungu? Weka vizuri record kaka. Hi kitu haina hata miaka 15, juzi tu hapo. Walibya na Syria wao wenyewe walianza kuandamana ili kuwatoa viongozi wao madarakani, chanzo kilianzia Tunisia, Libya, Misri, Syria waka copy; we named it as Arabs springs..., umesahau? So kabla ya kuwalaumu Wazungu, anzia na raia wao wenyewe, usiwasingizie wazungu kwa jambo lisilo lao. Iraqi yes, but not the other countries you mentioned
 
Tatizo la uhamiaji duniani kote linaletwa na wavaa makobasi! Hii mijamaa migaidi!
Ili sakata la uhamiaji linaimpact kubwa sana especially kwa Africa. Uko nyuma waafrika wenye ufahamu wa mambo walikuwa wakikimbilia ulaya na marekani kutafuta unafuu wa maisha. Sasa hiyo milango inafungwa, hali inayofanya kundi ilo libaki afrika kwa kwa shurti.
Sasa, tawala za Africa ni either zibadilike, rasilimali ziwe za nchi ama zijenge prisons kubwa. Kuna kivumbi kinakuja Africa.
 
Na ndicho kinachokuja , naamini ipo siku itaerupt bantu spring huku subsaharan Africa , hizi nchi zinatawaliwa na magenge ya wahuni
 
Saudi Arabia ni marufuku kujenga Kanisa,je unalijua hilo?!
 
Back
Top Bottom