TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Asylum papers za Godbless zitakuwa zimepona kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LAkini hata ukichunguza humu jf utagundua ni watu gani wamejawa na chuki na wivu kuhusu wenzaoNani huwa anamuitta mwenzake "Kafiri"?
Canada ni tawi la marekani linalojitegemeaSiasa za canada ziko affected na ishu za u.s.a
Hapana, sema Dini hizi mbili zimekuwa ni kama Watani wa Jadi sio kwamba ni "Chuki" huwezi kuona Watanzania wanauwana kwa ajili ya Imani zao labda ukutane na Gaidi huko Zanzibar.LAkini hata ukichunguza humu jf utagundua ni watu gani wamejawa na chuki na wivu kuhusu wenzao
Mkuki kwa nguruwe 🐷 wewe hata useme nini ni kazi bure tu huyo ndo tayari ameshawatupa mkono kwa kuachana na utamaduni wake wa karne ya saba.Hana jipya
Unatuletea story za vijiweni sasa muarabu gani wa saudi arabia anaongea english ya hivyo, yani hata vitu kama hivyo unashindwa kufikiria, mimi nakuonyesha congressman wa baraza la usalama la congress ya marekani ambaye alilelewa na kanisa katoliki wewe unatuletea movie za kusadikika ebo
Hawa ndio wale asilimia 75 wanaokimbia sheria za kijinga za karne ya saba katika nchi za kiislamu na wakishafika Marekani wanabaki waislam jina na ndio wale wanaenda misikitini kwenye sikukuu za idd tu.Wakati nyie wakristo wa tanzania mnawachukia waislamu kule marekani trump anazidi kuwapa mashavu cheki hapa bwana mehmet kala shavu kutoka kwa trump, na trump amependekeza wahamiaji wote waliopata elimu nzuri marekani wabakizwe ili waisaidie marekani kama bwana mehmet
Ucha ushamba marekani ni nchi ya wahamiaji na wanawategemea wahamiaji kwa maendeleo yao ,hawana akili za chuki na ujinga kama wewe, hawaangaalii dini au imani ya mtu kama wewe, ndio maana unaona trump na familia yake rafiki yao mkubwa ni prince wa saudi arabia mbsHawa ndio wale asilimia 75 wanaokimbia sheria za kijinga za karne ya saba katika nchi za kiislamu na wakishafika Marekani wanabaki waislam jina na ndio wale wanaenda misikitini kwenye sikukuu za idd tu.
Na hao wakishafika Marekani hukiri wazi kwamba ile ardhi ni ya waisrael na kwamba wapalestina ni wachokozi. Huwezi kupewa uteuzi kama huo kama unaipinga Israel na hilo wala halina mjadala na anayebisha ni mpumbavu fulani tu.
Hiji unajuaga nani yupo nyuma ya haya maandamano? Au unadhani raia wanaamuaga tu wenyewe.Hivi Libya na Syria vita ilianzishwa na Wazungu? Weka vizuri record kaka. Hi kitu haina hata miaka 15, juzi tu hapo. Walibya na Syria wao wenyewe walianza kuandamana ili kuwatoa viongozi wao madarakani, chanzo kilianzia Tunisia, Libya, Misri, Syria waka copy; we named it as Arabs springs..., umesahau? So kabla ya kuwalaumu Wazungu, anzia na raia wao wenyewe, usiwasingizie wazungu kwa jambo lisilo lao. Iraqi yes, but not the other countries you mentioned
Naweza kua NAJUA kuliko unavyo dhania; swali rahisi ni hili, "kama una akili timamu, kwanini mtu mwenye akili akutumie wewe kuvuruga amani ya nyumbani kwako na wewe ukakubali"?Hiji unajuaga nani yupo nyuma ya haya maandamano? Au unadhani raia wanaamuaga tu wenyewe.
Huyu jamaaa sijui kama papers zitapona sababu ukiomba asylum Canada hairuhusiwi kwenda huko ulikotoka.Nigerians wanachofanya wanaomba asylum ila wanakwenda nchi ya jirani lets say Ghana.kutoka Ghana kuingia Nigeria anatumia passport ya Nigeria.Labda na yeye katumia njia hiyoAsylum papers za Godbless zitakuwa zimepona kweli??
Kwani wao kwao ni wapi?Wazungu wana udhaifu mkubwa sana wa kuwa wakarimu kupitiliza kwenye kupokea wahamiaji, kukiwa kuna vita sehemu flani wapo tayari kupokea wakimbizi milioni, watu wakizamia bila vibali wanawachukua, n.k.
Ni suala la muda tu kuna siku watajikuta nchi zimepinduliwa na wageni na hawana cha kufanya, sheria zao zinafutwa wanaanza kuongozwa na wageni.