Canada yapiga marufuku uhamiaji holela

LAkini hata ukichunguza humu jf utagundua ni watu gani wamejawa na chuki na wivu kuhusu wenzao
Hapana, sema Dini hizi mbili zimekuwa ni kama Watani wa Jadi sio kwamba ni "Chuki" huwezi kuona Watanzania wanauwana kwa ajili ya Imani zao labda ukutane na Gaidi huko Zanzibar.
 

Wananchi wa Canada wakiandamana kupinga Uhamiaji holela kwenye Nchi yao wanaogopa Canada kuja kuwa kama Afghanistan.
 
Mkuki kwa nguruwe 🐷 wewe hata useme nini ni kazi bure tu huyo ndo tayari ameshawatupa mkono kwa kuachana na utamaduni wake wa karne ya saba.

Wewe bado umekomaa kufagilia utamaduni wa kiarabu, mwafrika ni mwafrika tu.
 
Hawa ndio wale asilimia 75 wanaokimbia sheria za kijinga za karne ya saba katika nchi za kiislamu na wakishafika Marekani wanabaki waislam jina na ndio wale wanaenda misikitini kwenye sikukuu za idd tu.

Na hao wakishafika Marekani hukiri wazi kwamba ile ardhi ni ya waisrael na kwamba wapalestina ni wachokozi. Huwezi kupewa uteuzi kama huo kama unaipinga Israel na hilo wala halina mjadala na anayebisha ni mpumbavu fulani tu.
 
Ucha ushamba marekani ni nchi ya wahamiaji na wanawategemea wahamiaji kwa maendeleo yao ,hawana akili za chuki na ujinga kama wewe, hawaangaalii dini au imani ya mtu kama wewe, ndio maana unaona trump na familia yake rafiki yao mkubwa ni prince wa saudi arabia mbs
 
Hiji unajuaga nani yupo nyuma ya haya maandamano? Au unadhani raia wanaamuaga tu wenyewe.
 
Hiji unajuaga nani yupo nyuma ya haya maandamano? Au unadhani raia wanaamuaga tu wenyewe.
Naweza kua NAJUA kuliko unavyo dhania; swali rahisi ni hili, "kama una akili timamu, kwanini mtu mwenye akili akutumie wewe kuvuruga amani ya nyumbani kwako na wewe ukakubali"?
 
Asylum papers za Godbless zitakuwa zimepona kweli??
Huyu jamaaa sijui kama papers zitapona sababu ukiomba asylum Canada hairuhusiwi kwenda huko ulikotoka.Nigerians wanachofanya wanaomba asylum ila wanakwenda nchi ya jirani lets say Ghana.kutoka Ghana kuingia Nigeria anatumia passport ya Nigeria.Labda na yeye katumia njia hiyo
 
Kwani wao kwao ni wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…