Canada yatangaza ushuru wa asilimia 25% kwa magari ya Kimarekani

Canada yatangaza ushuru wa asilimia 25% kwa magari ya Kimarekani

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Nchi ya Canada imetangaza ushuru wa asilimia 25% kwa magari ya Kimarekani.

canada marekani.png
 
Haya magari tuna nunuaga kutoka Japan, si tunalipaga zaidi ya 100%? Wao 25% tu ndio wana lia? Kuagiza kitu from abroad to Tanzania is very expensive yaani
 
Back
Top Bottom