Canada yatangaza ushuru wa asilimia 25% kwa magari ya Kimarekani

Haya magari tuna nunuaga kutoka Japan, si tunalipaga zaidi ya 100%? Wao 25% tu ndio wana lia? Kuagiza kitu from abroad to Tanzania is very expensive yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…