Sasa wewe unajua zinakotoka!!!Kama ana hela nyingi kutoka kwenye mfuko wake wa urais , mbona hakutoa hizo hela kwenye mfuko wake akawapea? Acha kujaribu kumtetea jiwe wakati hata moyoni mwako unajua Tu.....
Mkorinto!Sasa wewe unajua zinakotoka!!!
Fake maana bongolala hawajatajwa? Lol ,mnatia hurumaiyo habari ni fake bwana..malamka za canada wamekanusha uwepo izo habari za waziri wao kuomba wahamiaji milioni 1 ...na wakati Kenyatta mwenyewe yupo china huko na yy anaomba ufweza ...
swala sio sababu Tz haipo..swala ni kwamba iyo issue ni fake sio official statement from canada kama balozi tu ya canada kule naija wamekataa izo news tena the same contentFake maana bongolala hawajatajwa? Lol ,mnatia huruma
Alafu kuna ule wakati alilazimisha Tanesco kupunguza bei ya stima kiasi cha kua watakua wanapata hasara ili wananchi wa enjoy stima ya bei nafuu...Huyu jiwe ni janga Kwa ndugu zangu watanzania ,afu uliona venye alikua anapiga hesabu zake? Hii ndege ingepelekwa Africa kusini ingekua million 140 sasa tumetumia million 20 tu,sasa chukua million kumi uwape hawa jamaa Kwa kazi nzuri wamefanyia taifa Kwa kubana matumizi ya hela za umma, Tanzania hoyeee ,CCM hoyeee,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] huyu jiwe ni kupe anawafionza watanzania hadi basi . Afu pia kuna Yule RC anambia watanzania eti Mungu amshukuru magufuli Kwa kazi nzuri anayoifanya,,, tulishasema wabongo akili hamna watabaki kutoa povu Hadi kiyama, Mungu atamshukuru vipi mja?.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jiwe ni mwiba Kwa watanzania atawadungadunga hadi awamalize,Heri wamchague Tundu lisu iwapo wanataka kuwa katika uchumi wa Kati.Alafu kuna ule wakati alilazimisha Tanesco kupunguza bei ya stima kiasi cha kua watakua wanapata hasara ili wananchi wa enjoy stima ya bei nafuu...
________
Tanzania said in January it was seeking a loan of $200 million from the World Bank for its debt-ridden state power supplier Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) after the country's president refused to allow the utility to raise prices to cover costs.
President John Magufuli wants cheap electricity to drive industrialisation, but the World Bank is likely to insist the loss-making utility increases prices so it can cover the cost of producing power and begin much-needed reforms.
TANESCO has debts of $363 million, up from $250 million at the end of 2015.
___________
While I can not ascertain the veracity of the OP. It is clear to any country that kenyan immigrants form a crucial backbone for any country western or african. For years botswana has relied on kenyan expertise and kenyan business acumen to drive their economy. America also ranked kenyan among the top performing immigrant community in their country with many working in high skill sectors eg Tesla,Google, doctors, Academicians in their universities etc. One of the largest beef cattle farms in botswana is owned by a kenyan, the IT policy of Rwanda was formulated by a kenyan. Traffic problems in london were solved by a kenyan in the UK, a kenyan once headed the american consumer product giant procter and gamble. The list is quite long.
Upo sahihifake news