Canal+ inapigwa vita kwa sababu inaonesha ligi kuu ya Uingereza kwa bei nafuu

LUS0MYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
866
Reaction score
1,109
Tayari kuna tangazo la TCRA kuashiria kuanza kwa mileage dhidi ya matumizi ya decoder ya CANAL+ Nchini tanzania na hiyo ni kwa sababu inaleta ushindani kwa dstv.

Badala ya kufikiria kuipiga marufuku decoder hiyo iwape utaratibu wa kufanya ili nayo ilete changamoto chanya kwa wapenzi wa soka hapa nchini kujionea ligi mbalimbali za nje kwa bei rafiki.
20230102_185912.jpg
 
Canal hawana haki ya kurusha Epl Tanzania
Km unatumia hicho kungamuzi tupa ukikamatwa utafilisika
 
Nadhani ifike sehemu tuone namna gani ya kujing’amua katika mambo ya kikoloni.
DSTV wanatoza pesa kubwa sana and thanks Azam angalau kamshtua.
Maana sie wa toka zamani tumebuluzwa sana na DSTV.
GTV alikuja akaweka vitu sawa but too bad na GED ya 2008 wakaanguka.
 
Serikali inatoza kodi kubwa DStv ndio sababu bei zipo juu hao azam wanalipa kodi km kampuni ya kizawa

Tz vitu vingi sana tunafanya vionekane kama anasa. Gharama ni kubwa sana. Hawataki turefresh mind kabisa
 
Serikali inatoza kodi kubwa DStv ndio sababu bei zipo juu hao azam wanalipa kodi km kampuni ya kizawa
Dstv hata walipokua wanalipa kodi kidogo walikua wana gharama kubwa sana sisi wengine tulikua tunachukua decorder ya Dstv ya SA unailipia mwaka mzima ile full package unakuja nayo Tanzania na unaona vizuri tuu baadae ikaja unatakiwa ubadilishe Ungo uweke ule mkubwa hasa kwa Nyanda za juu Kusini kwa Kaskazini ilikua inasumbua kidogo...Daslm kote watu walikua wanabeba dstv ya SA na mtu anailipia mwaka au muda wowote ikiisha unatuma hela wanalipia kwenye Akaunti ilikua gharama ndogo sana kuangalia channel za Mpira...
 
Canal hawana haki ya kurusha Epl Tanzania
Km unatumia hicho kungamuzi tupa ukikamatwa utafilisika

Yani leo ndio nimeona uwezo wako mdogo.

Hicho kisimbuzi kinatumia frequancy za nchi !

hicho kisumbuzi kinatumia internation frequancy. sawa na leo dishi la saudia lisifanye kazi. ni kitu akiwezekani .

kuna watu wapo china wanatumia Azam
 
Back
Top Bottom