Canal hawana haki ya kurusha Epl Tanzania
Km unatumia hicho kungamuzi tupa ukikamatwa utafilisika
Nadhani ifike sehemu tuone namna gani ya kujing’amua katika mambo ya kikoloni.
DSTV wanatoza pesa kubwa sana and thanks Azam angalau kamshtua.
Maana sie wa toka zamani tumebuluzwa sana na DSTV.
GTV alikuja akaweka vitu sawa but too bad na GED ya 2008 wakaanguka.
Tz vitu vingi sana tunafanya vionekane kama anasa. Gharama ni kubwa sana. Hawataki turefresh mind kabisaNadhani ifike sehemu tuone namna gani ya kujing’amua katika mambo ya kikoloni.
DSTV wanatoza pesa kubwa sana and thanks Azam angalau kamshtua.
Maana sie wa toka zamani tumebuluzwa sana na DSTV.
GTV alikuja akaweka vitu sawa but too bad na GED ya 2008 wakaanguka.
Dstv hata walipokua wanalipa kodi kidogo walikua wana gharama kubwa sana sisi wengine tulikua tunachukua decorder ya Dstv ya SA unailipia mwaka mzima ile full package unakuja nayo Tanzania na unaona vizuri tuu baadae ikaja unatakiwa ubadilishe Ungo uweke ule mkubwa hasa kwa Nyanda za juu Kusini kwa Kaskazini ilikua inasumbua kidogo...Daslm kote watu walikua wanabeba dstv ya SA na mtu anailipia mwaka au muda wowote ikiisha unatuma hela wanalipia kwenye Akaunti ilikua gharama ndogo sana kuangalia channel za Mpira...Serikali inatoza kodi kubwa DStv ndio sababu bei zipo juu hao azam wanalipa kodi km kampuni ya kizawa
Canal hawana haki ya kurusha Epl Tanzania
Km unatumia hicho kungamuzi tupa ukikamatwa utafilisika
Wainue wengi wapande humu, tafadhali fafanua kwa maslahi ya maisha mazuri kwa wote!hesgoal
goal9.tv
yalla live shoot
+
Smart TV
+
Cable/Fiber
=
No stress