CANAL SPORTS NDIO MPANGO MZIMA AISEH!!

CANAL SPORTS NDIO MPANGO MZIMA AISEH!!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Chanel zote za michezo hadi Uefa kwa 43000/= kwa lugha ya kifaransa ukitaka channel za kiingereza unaongeza ten inakua 53000/= unapata super sport epl 473 na na super sport Liga 473 kwa kiingereza!!

Wakati Dstv ukilipa compact ya 64000/= unacheki epl tu! Uefa hakuna!!na watakupa game zisizo na mvuto!!

Dstv tupa kule canal ndani ya nyumba!!

Hizi bei ni kwa wakala waliopo Tanzania pekee!!

Zama za Dstv kutunyonya zimeisha!!

Big up canal!!
 
Unanunua decoder au ni nini hasa? Ni official au hizi za ujanja wa kitaa? DSTV si ndiyo official broadcaster wa EPL kwa Bongo?
 
Back
Top Bottom