RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
DStv ni kama iPhone, wasiotumia wanahangaika kuisakama na kuiponda huku watumiaji wako kimya. Mkuu wewe tumia tu hata Azam, Ting sijui nini kwa raha zako.Chanel zote za michezo hadi Uefa kwa 43000/= kwa lugha ya kifaransa ukitaka channel za kiingereza unaongeza ten inakua 53000/= unapata super sport epl 473 na na super sport Liga 473 kwa kiingereza!!
Wakati Dstv ukilipa compact ya 64000/= unacheki epl tu! Uefa hakuna!!na watakupa game zisizo na mvuto!!
Dstv tupa kule canal ndani ya nyumba!!
Hizi bei ni kwa wakala waliopo Tanzania pekee!!
Zama za Dstv kutunyonya zimeisha!!
Big up canal!!
cc Depal