Tunashukuru mkuu kwa ufafanuzi wakoZanzibar inatambuliwa na CAF, ndiyo maana vilabu vya Zanzibar vinashiriki mashindano ya CAF, ni kupitia utambuzi huo wa CAF kwa Zanzibar Ligi ya Muungano ilikufa automatically.
FIFA bado wanasuasua kuitambua Zanzibar; pamoja na yote hayo jamaa anatisha.
Kuna kitu nimekigundua kwa hili jembe(Nadir Haroub Ally "Canavaro")Huyu hamaa anashikilia record ya kua captain wa timu tatu za mpira wa miguu duniani tena kwa wakati mmoja.
Timu hizo ni:
1.Yanga.
2.Zanzibar heros
3.Taifa stars.
Nimejaribu kupitia mitandaoni sijaona mwenye record hizo.
So kwangu mm huyu jamaa ni wa kwanza ktk karne hii ya 21.
Kama sipo sahihi au kama kuna mwingine zaidi yake niambieni.
Naomba kuwasilisha!
Huyu anashikilia record gani wakuu?
mie naikumbuka ile ya kuwalaza watu saa 12 jioni!!!
Tunashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako
Aise JF ina raha mpaka basi!!Mkuu Signature yako ina maandishi mekundu yanayoonesha kuwaunga mkono mikia, hata mimi zamani nilikuwa na maandishi mekundu, nilivyotafakari kwa kina (critical thinking) nikaona kuwa nawapa faida mikia bila kudhamiria nikabadilisha kama iavyoonekana sasa. Wewe mkuu unaonaje ukibadilisha pia?
Nilipata na mgao wa ESCROW MkuuNadhani FIFA na VYAMA VYAKE wapo humu so ngoja tuone akina malinzi watatoa neno gani.
But mkuu hiyo ID yako mbona imekaa kifisadi?
Kwani ulikosa ID?dah!!!!! yani ni sheeeedah!!!
Anashikilia record ya kuwa mchezaji mwenye sauti na maamuzi yote ya klabu ya simba kuliko mwenyekiti wa timu, kocha na viongoz wengine....Huyu anashikilia record gani wakuu?
mie naikumbuka ile ya kuwalaza watu saa 12 jioni!!!
Zanzibar haitambuliki so Ni kama captain wa timu ya mchangani tuKuna kitu nimekigundua kwa hili jembe(Nadir Haroub Ally "Canavaro")Huyu hamaa anashikilia record ya kua captain wa timu tatu za mpira wa miguu duniani tena kwa wakati mmoja.
Timu hizo ni:
1.Yanga.
2.Zanzibar heros
3.Taifa stars.
Nimejaribu kupitia mitandaoni sijaona mwenye record hizo.
So kwangu mm huyu jamaa ni wa kwanza ktk karne hii ya 21.
Kama sipo sahihi au kama kuna mwingine zaidi yake niambieni.
Naomba kuwasilisha!
Kuna kitu nimekigundua kwa hili jembe(Nadir Haroub Ally "Canavaro")Huyu hamaa anashikilia record ya kua captain wa timu tatu za mpira wa miguu duniani tena kwa wakati mmoja.
Timu hizo ni:
1.Yanga.
2.Zanzibar heros
3.Taifa stars.
Nimejaribu kupitia mitandaoni sijaona mwenye record hizo.
So kwangu mm huyu jamaa ni wa kwanza ktk karne hii ya 21.
Kama sipo sahihi au kama kuna mwingine zaidi yake niambieni.
Naomba kuwasilisha!
Ni mchezaji mwenye 'ngoma' anayeendelea kujimaliza mwenyewe uwanjani.
Bila shaka wewe ndiye uliyemuambukiza.!