Canavaro wa Yanga na rekodi ya kipekee Duniani

Canavaro wa Yanga na rekodi ya kipekee Duniani

Ahsante mkuu Makoye Matale ,hii ilinitoka kidogo.Shukran kwa kuiweka sawa.Anyway,MIKIA FC inawauma sana but no way out!!!!
 
Last edited by a moderator:
Zanzibar inatambuliwa na CAF, ndiyo maana vilabu vya Zanzibar vinashiriki mashindano ya CAF, ni kupitia utambuzi huo wa CAF kwa Zanzibar Ligi ya Muungano ilikufa automatically.

FIFA bado wanasuasua kuitambua Zanzibar; pamoja na yote hayo jamaa anatisha.
Tunashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako
 
Kuna kitu nimekigundua kwa hili jembe(Nadir Haroub Ally "Canavaro")Huyu hamaa anashikilia record ya kua captain wa timu tatu za mpira wa miguu duniani tena kwa wakati mmoja.
Timu hizo ni:
1.Yanga.
2.Zanzibar heros
3.Taifa stars.
Nimejaribu kupitia mitandaoni sijaona mwenye record hizo.
So kwangu mm huyu jamaa ni wa kwanza ktk karne hii ya 21.

Kama sipo sahihi au kama kuna mwingine zaidi yake niambieni.
Naomba kuwasilisha!

Mi nimekuelewa sasa unatakaje?
 
Tunashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako

Mkuu Signature yako ina maandishi mekundu yanayoonesha kuwaunga mkono mikia, hata mimi zamani nilikuwa na maandishi mekundu, nilivyotafakari kwa kina (critical thinking) nikaona kuwa nawapa faida mikia bila kudhamiria nikabadilisha kama inavyoonekana sasa. Wewe mkuu unaonaje ukibadilisha pia?
 
Mkuu Signature yako ina maandishi mekundu yanayoonesha kuwaunga mkono mikia, hata mimi zamani nilikuwa na maandishi mekundu, nilivyotafakari kwa kina (critical thinking) nikaona kuwa nawapa faida mikia bila kudhamiria nikabadilisha kama iavyoonekana sasa. Wewe mkuu unaonaje ukibadilisha pia?
Aise JF ina raha mpaka basi!!
 
​hivi hii rekodi haijaingia kwenye kitabu cha guiness tu hadi leo???

Nadhani FIFA na VYAMA VYAKE wapo humu so ngoja tuone akina malinzi watatoa neno gani.
But mkuu hiyo ID yako mbona imekaa kifisadi?
Kwani ulikosa ID?dah!!!!! yani ni sheeeedah!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu anashikilia record gani wakuu?
mie naikumbuka ile ya kuwalaza watu saa 12 jioni!!!
Anashikilia record ya kuwa mchezaji mwenye sauti na maamuzi yote ya klabu ya simba kuliko mwenyekiti wa timu, kocha na viongoz wengine....
 
Kuna kitu nimekigundua kwa hili jembe(Nadir Haroub Ally "Canavaro")Huyu hamaa anashikilia record ya kua captain wa timu tatu za mpira wa miguu duniani tena kwa wakati mmoja.
Timu hizo ni:
1.Yanga.
2.Zanzibar heros
3.Taifa stars.
Nimejaribu kupitia mitandaoni sijaona mwenye record hizo.
So kwangu mm huyu jamaa ni wa kwanza ktk karne hii ya 21.

Kama sipo sahihi au kama kuna mwingine zaidi yake niambieni.
Naomba kuwasilisha!
Zanzibar haitambuliki so Ni kama captain wa timu ya mchangani tu
 
Kuna kitu nimekigundua kwa hili jembe(Nadir Haroub Ally "Canavaro")Huyu hamaa anashikilia record ya kua captain wa timu tatu za mpira wa miguu duniani tena kwa wakati mmoja.
Timu hizo ni:
1.Yanga.
2.Zanzibar heros
3.Taifa stars.
Nimejaribu kupitia mitandaoni sijaona mwenye record hizo.
So kwangu mm huyu jamaa ni wa kwanza ktk karne hii ya 21.

Kama sipo sahihi au kama kuna mwingine zaidi yake niambieni.
Naomba kuwasilisha!

Mh! haya najua we yangatu
 
Mmesahau record nyingine,pia huyu carnavaro ni captain wa familia yake pale home
 
Back
Top Bottom