Zanzabar heroes alifukuzwa ucaptain kwa utovu wa nidhamu wa hali ya juu aliouonesha baada ya kuchukua ela ya zawadi na kutokuzikabidhi kwa wakuu wa msafari ktk kombe la challenge baada ya kushika nafasi ya tatu Nadir haroub ally sio captain wa zanzibar heroesKuna kitu nimekigundua kwa hili jembe(Nadir Haroub Ally "Canavaro")Huyu hamaa anashikilia record ya kua captain wa timu tatu za mpira wa miguu duniani tena kwa wakati mmoja.
Timu hizo ni:
1.Yanga.
2.Zanzibar heros
3.Taifa stars.
Nimejaribu kupitia mitandaoni sijaona mwenye record hizo.
So kwangu mm huyu jamaa ni wa kwanza ktk karne hii ya 21.
Kama sipo sahihi au kama kuna mwingine zaidi yake niambieni.
Naomba kuwasilisha!
Mi nimekuelewa sasa unatakaje?
hapo bado kuna shidaZanzibar inatambuliwa na CAF, ndiyo maana vilabu vya Zanzibar vinashiriki mashindano ya CAF, ni kupitia utambuzi huo wa CAF kwa Zanzibar Ligi ya Muungano ilikufa automatically.
FIFA bado wanasuasua kuitambua Zanzibar; pamoja na yote hayo jamaa anatisha.
Zanzibar inatambuliwa na CAF, ndiyo maana vilabu vya Zanzibar vinashiriki mashindano ya CAF, ni kupitia utambuzi huo wa CAF kwa Zanzibar Ligi ya Muungano ilikufa automatically.
FIFA bado wanasuasua kuitambua Zanzibar; pamoja na yote hayo jamaa anatisha.
Captain anataka kupigana nan anakuwa msimamiaji wa nidhamu mbele ya wenzie,mechi ya awal kati ya coaster na yanga iliyofanyika mkwakwan Nadir alipofunga gol kaenda nje ya uwanja na kumbusu askal wa kike huu nao ni utovu wa nidhamu kupitiliza so hawezi kuwa mfano kwa wengine
Halafu ndio nahodha pekee anaejua kuongea mbele ya waandishi wa habari.
Zanzabar heroes alifukuzwa ucaptain kwa utovu wa nidhamu wa hali ya juu aliouonesha baada ya kuchukua ela ya zawadi na kutokuzikabidhi kwa wakuu wa msafari ktk kombe la challenge baada ya kushika nafasi ya tatu Nadir haroub ally sio captain wa zanzibar heroes
Captain anataka kupigana nan anakuwa msimamiaji wa nidhamu mbele ya wenzie,mechi ya awal kati ya coaster na yanga iliyofanyika mkwakwan Nadir alipofunga gol kaenda nje ya uwanja na kumbusu askal wa kike huu nao ni utovu wa nidhamu kupitiliza so hawezi kuwa mfano kwa wengine
Zanzibar haitambuliki so Ni kama captain wa timu ya mchangani tu
Kandambili mshaanza promo za kijinga.. Kesho mtaleta record za nani??
Sent from my BlackBerry 9320. using JamiiForums