Canavaro wa Yanga na rekodi ya kipekee Duniani

Canavaro wa Yanga na rekodi ya kipekee Duniani

Na pia anarecord nzuri ya kuwashikisha adabu marefalii waPumbavu
 
Kuna kitu nimekigundua kwa hili jembe(Nadir Haroub Ally "Canavaro")Huyu hamaa anashikilia record ya kua captain wa timu tatu za mpira wa miguu duniani tena kwa wakati mmoja.
Timu hizo ni:
1.Yanga.
2.Zanzibar heros
3.Taifa stars.
Nimejaribu kupitia mitandaoni sijaona mwenye record hizo.
So kwangu mm huyu jamaa ni wa kwanza ktk karne hii ya 21.

Kama sipo sahihi au kama kuna mwingine zaidi yake niambieni.
Naomba kuwasilisha!
Zanzabar heroes alifukuzwa ucaptain kwa utovu wa nidhamu wa hali ya juu aliouonesha baada ya kuchukua ela ya zawadi na kutokuzikabidhi kwa wakuu wa msafari ktk kombe la challenge baada ya kushika nafasi ya tatu Nadir haroub ally sio captain wa zanzibar heroes
 
Halafu ndio nahodha pekee anaejua kuongea mbele ya waandishi wa habari.
 
Zanzibar inatambuliwa na CAF, ndiyo maana vilabu vya Zanzibar vinashiriki mashindano ya CAF, ni kupitia utambuzi huo wa CAF kwa Zanzibar Ligi ya Muungano ilikufa automatically.

FIFA bado wanasuasua kuitambua Zanzibar; pamoja na yote hayo jamaa anatisha.
hapo bado kuna shida
 
YANGAVSAZAM5.jpg
 
Zanzibar inatambuliwa na CAF, ndiyo maana vilabu vya Zanzibar vinashiriki mashindano ya CAF, ni kupitia utambuzi huo wa CAF kwa Zanzibar Ligi ya Muungano ilikufa automatically.

FIFA bado wanasuasua kuitambua Zanzibar; pamoja na yote hayo jamaa anatisha.

Thanx! Slightly nimekuelewa
 
Wabongo bwana sipati picha angetokea mchezaji mmoja tu akacheza hata Leeds United daraja la pili Uingereza....lazima angepelekwa bungeni kutambulishwa
 
Zanzabar heroes alifukuzwa ucaptain kwa utovu wa nidhamu wa hali ya juu aliouonesha baada ya kuchukua ela ya zawadi na kutokuzikabidhi kwa wakuu wa msafari ktk kombe la challenge baada ya kushika nafasi ya tatu Nadir haroub ally sio captain wa zanzibar heroes

Kwa hiyo captain wa sasa wa Zanzibar heroes ni nani!?,
 
Captain anataka kupigana nan anakuwa msimamiaji wa nidhamu mbele ya wenzie,mechi ya awal kati ya coaster na yanga iliyofanyika mkwakwan Nadir alipofunga gol kaenda nje ya uwanja na kumbusu askal wa kike huu nao ni utovu wa nidhamu kupitiliza so hawezi kuwa mfano kwa wengine

Kwenye hiyo picha umeona ana beji ya ucaptain mkononi!?,
Tazama kulia kwako (Pichani)kuna Shadrack Nsajigwa Fuso na beji yake mkononi kama Nahodha.
Cannavaro hapo mi raia tu na alitaka kufikisha ujumbe fulani.Kama sikosei mechi hii ilikuwa ya Azam enzi hizo hajawa captain wa Yanga na Stars.Kwa uelewa wako unadhani kwa nini pamoja na haya baadae alivipata vyeo vyote hivyo!?, Jibu ni kuwa hakuwa na hatia ila mwamuzi ndio alichemka.

Hilo la Tanga tuwekee uthibitisho tuamini.Na kuanzia leo tambua Nadir Haroub Ally Cannavaro ni nahodha wa kipekee sana duniani!!
 
Nadir Haroub Ndio Captain Zanzibar heroes alisharudishiwa Captain band siku nyingi na wachezaji wenzake ndio waliomba na kushinikiza akiwemo Nassoro cholo masoud,Agrrey moriss na wengine fuatilieni sio tu kutunga vijisentesi vya uongo.Hili la kuwa Nahodha wa timu tatu linaweza kuwa Rekodi
 
Kandambili mshaanza promo za kijinga.. Kesho mtaleta record za nani??

Sent from my BlackBerry 9320. using JamiiForums
 
Huyo ndiye Nadir Haroub.
Jamaa anakaba sana na akiona vp anapanda na kuweka mpira kambani kama John Terry vile.
 
Back
Top Bottom