Wadau habari ya muda huu,naitaji kujua huu ugonjwa kwa undani kwa yeyote anayefahamu chochote kuhusu huu ugonjwa anijuze maana kinakopita nasikia kafa au anaugua cancer ya kizazi
Brief on it ikiwemo dalili,visababishI,prevention na tiba pia.
Karibuni tujuzane!!!!
Dalili
1.Kutokwa Damu Ukeni wakati ushaingia Menopause(kwa wanawake >55yrs) au kutokwa sana damu ukeni wakati mwanamke aingia hapo hezini,au kutokwa damu mara nyingi(zaidi ya mara moja) ndani ya mzunguko mmoja
e.g mwanamke kaingia bleed leo ikaisha baada ya siku tatu au tano week ikapita tena damu ikatoka
Visababishi
Husababishwa mara nyingi na wale wanawake ambao wamepata exposure sana ya Hormone ya Oestrogen
e.g watumiaji wa vidonge vya uzazi vyenye oestrogen pekee,wale walio wai kupata hedhi(early menarche) na wale waliochelewa kupata menopause au wale ambao hawakupata mtoto au watoto(nullyparous)
Vichochezi
1.Pressure kubwa(Hypertension)
2.Kisukari(diabetes)
Jinsi ya kujizuia
watalamu wanasema kuvuta sigara na kufanya mazoezi vinamsaidia mwanamke aliye kwenye visababishi asipate saratani ya kizazi
Pia wanawake wasitumie Contraceptives zenye oestrogen pekee yaake bali watumie zile zenye mchanganyiko wa oestrogen na progesterone au progesteron only(depo provera)
Tiba
Kuondoa kizazi na mirija ya mayai na mayai yenyewe kwa njia ya operation(Total abdominal hystrectomy and Total salipingoophorectomy)
Hii ndo tiba nzuri zaidi ila pia Mionzi ya ocean road inaweza kusaidia