Cancer ya utumbo mkubwa.(Colon Cancer)

peptic ulcers or gastric ulcers zinatokea katika sehemu ya kwanza ya utumbo inayojulikana kama duodenum, colon cancer inatokea kwenye colon ambayo ni utumbo mkubwa, Peptic ulcers zinakua diagnosed kwa kifaa kinachoitwa endoscopy.
Mkuu mimi napata tatizo maumivu chini ya kitovu sana sana nisipokula kwa wakati,then inanifanya naenda chooni kabla na baada ya kula,hiyo sio dalili kweli mkuu?
 
Mimi ninapo mtibia mtu huwa ninamwambia aende kupima Hospitali na vipimo vya kizungu ili athibitishe kuwa amepona kwa dawa zangu sibahatishi katika utibabu wangu.Ninatibu maradhi mengi mpaka maradhi ya ukimiwi ninatibu pia.
Jamaa muongo huyu
 
Mkuu ugonjwa gani huwezi kutibu?
 
Dada yangu Muongo kweli!!!
Sasa kama kazi yake ndio hiyo, iweje tupate maradhi kwa kula na kunywa chakula chenye vidudu (mfano maji yasiyochemshwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…