ok, mwili wa binadamu una gastric ambayo ni acid inakaa tumboni, acid hii imewekwa kama sehemu ya kinga ya mwili, kila chakula unachokula kinapofika tumboni kinazungukwa na acid hii kabla ya kusagwa na kugawanywa. Hii acid inaua vidudu vyote ambavyo vingekuletea madhara kwenye mwili. Mara unapoanza kusikia harufu ya chakula na kuanza kutafuna hii acid inaanza kuntengenezwa kusubiri chakula utakachomeza. Kwa watu wengine (wachache) acidi hii husababisha vidonda viitwavyo peptic ulcers or gastrict ulcers.