Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Mwenye link tafadhali atuwekee hapa. Hili sio la kukosa
Crowford atashinda hili pambano.Sina link lakini Crawford anaenda kula kichapo cha mbwa koko.
Ngoja tuoneCrowford atashinda hili pambano.
Bado hawajamalizana?Crowford atashinda hili pambano.
Sijaona chochote. Ila pambano litakuwa linakaribia kuisha kama kutakuwa hamna TKO Maana wameanza saa 1.30Bado hawajamalizana?