12.1mpIna mega pixel ngapi??
Her zoom power is awesome. 50X.!!!!. It's among of the good Canon DSLR cameras woth affodarble price.
Kaka hapo penye wekundu sidhani kama ni sawa ,pamoja na kutokuwa mjuaji kwa sana wa camera nadhani aina hii ya camera ipo kwenye kundi la camera zinazojulikana kama Compact camera,camera zipo aina tatu Point and Shoot,Compact camera na hizo zilizopo kwenye red hapo juu
ilishanunuliwa ilikuwa complete,ukitaka nyingine ya hivyo naweza kukutafutia nakonunulia ilikuwa used,printer unaweza nipigia simu iko hapo juuUna guarantee ya muda gani? Niamie ofis yako inapatikana wapi? 0713 488889 nahitaji camera na printer ya picha ! Napia nahitaji kujua kwa price hiyo ulotaja napata full device na accesories?