BrysonM
New Member
- May 6, 2022
- 4
- 1
Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya teknolojia ya ufundishaji Tanzania. Kama umeangalia hio video utagundua wanatumia mfumo unaitwa ShuleSoft.
ShuleSoft ni mfumo wa kidigitali uliotengenezwa hapa Tanzania kwa lengo la kurahisisha uendeshaji wa shughuli za shule. Shughuli kama kuchukua attendance, kusahihisha mitihani kuandaa matokeo, kutengeneza ripoti za wanafunzi na ukusanyaji wa mapato ya shule na mengine mengi yote unaweza kuyafanya kwa kutumia mfumo huu kiurahisi.
Zaidi ya hapo mfumo huu unafanya kazi kwa njia ya mtandao hivyo walimu, wazazi na uongozi wa shule wanakuwa na akaunti kama zilivyo akaunti za facebook au Instagram na hivyo huweza kupata taarifa mbalimbali za wanafunzi kupitia akaunti zao. Unaweza kuuita mfumo unaofanikisha zana ya “elimu shirikishi”.
Umuhimu wa mfumo huu unaonekana hasa pale linapokuja swala la kukusanya taarifa za mapato na matumizi ya shule. Wazazi wanaweza kuona kiasi wanachodaiwa moja kwa moja kupitia simu zao. Na kama haitoshi wanaweza vilevile kufanya malipo kupitia mfumo.
Tunapokuja kwenye swala la kurahisisha shughuli za walimu. Hapa nadhani ndio kunakuja umuhimu zaidi kwa sababu kazi ambayo inamtaka mwalimu kuifanya wiki nzima inaisha ndani ya siku. Hii ni moja ya kitu ambacho shule nyingi inabidi kujifunza. Tukichukulia mfano zoezi la kuandaa matokeo, anachotakiwa kufanya mwalimu ni kuingiza taarifa tu za mwanafunzi halafu mfumo wenyewe unapanga matokeo na kutoa ripoti zilizosainiwa baada ya hapo kuzituma kwa wazazi, ehehe teknolojia bana!
Hadi hapo unaweza kuona teknolojia ya ShuleSoft inavyoleta mabadiliko kwenye elimu, uzuri wake ni kwamba ufanyaji kazi wake ni kama unavyoiona facebook. Uwe mwalimu, mzazi, mkuu wa shule au mmiliki unapata taarifa zinazokuhusu mahali popote na kwa muda wowote. Na zaidi mfumo huu unaweza kuutumia hata kama una simu ya mkononi, hadi mwenye kitochi bado anaweza kupata taarifa kupitia sms za kawaida.
Kama nilivyosema awali mfumo huu unapatikana mtandaoni kama unavyoona facebook ,hivyo unakuwa na akaunti ambayo inakusaidia kupata taarifa au kufanya mambo yanayokuhusu tu kwa kutumia simu yako ya mkononi(smartphone) au kompyuta. Na pia kuna program ya mafunzo ya namna ya kutumia mfumo kwa ufanisi Zaidi.
Mfumo huu huunganishwa na shule hivyo shule husika ndio hutakiwa kuchangia kiasi kidogo na gharama zake ni nafuu sana maana hulipwa kulingana na idadi ya wanafunzi.
Mambo ya ziada ambayo unaweza kufanya ukiwa na huu mfumo ni:
Kutuma message za pamoja(bulk sms).
Kukusanya taarifa za mahudhurio.
Kufanya usajili mtandaoni.
Kufundisha kwa njia ya mtandao.
Kupata taarifa za kibenki CRDB na NMB pamoja na mifuko ya kijamii NSSF na NHIF .
Kutunza rekodi za shule yaani stafu na mali za shule.
Na kulipa mishahara.
Unafikiri hii ndio sababu Canossa inafanya vizuri?