Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
bibi kapitia JKT?Hapa naona dalili za kolabo ya ukubwani inanukia..
Ngoja kwana nikamsomeshe Bibi...lol!!
Babu DC!!
kuna vitu havipimiki kwa umri.......Nime-edit mkubwa mwenzangu...
Naona hilo neno limekutisha sana....
Ndo ukubwa lakini...
Babu DC!!
ha ha haaaa, I hope hakukuangushia ngumi kidogo, how could you?
ila babu hii ni siri yako (siku ya kwanza niliapa sitarudia tena, na kuwashangaa sana dada zangu kwa nini walikuwa wanatoroka home? kwa kitu gani hasa?)
nilikuwa better-off kuishia kwenye I love you, I love you too, lol!
umeona eeh!Utoto raha sana.....lol!!
Unawashangaa watu wazima wanafanya vitu ambavyo hata kichaa ataviogopa!
Babu DC!!
ha ha haaaa, asilete masihara........dada mkubwa na babu mi nawasubr mmlize mjue .kitu cha kuona dadmkubwa anawekesha kolabo la ukubwani huku akimchimba mkwara bib kama ashaenda JKT si mchezooo.
marahabaaa rafiki yangu....Shikamoo Damkubwa mie niko bomba, salam nyingi kwa Teja, Mamkubwa, Mamdogo, twins na nanihii 🙂
m
marahabaaa rafiki yangu....
woote wamesikia salamu zao nao wanakusalimu sana, ila huyo nanihii......., lol! mi simo
tena fanya hima maana anasema ana maujumbe yako ya kumwaga......... usiniulize yapi maana hayanihusuHahahahah lol! Nitamcall basi mwenyewe ili nimfikishie salam zake kama Damkubwa umeamua kususa 🙂
dada mkubwa na babu mi nawasubr mmlize mjue .kitu cha kuona dadmkubwa anawekesha kolabo la ukubwani huku akimchimba mkwara bib kama ashaenda JKT si mchezooo.
si ndo maana na mimi nikaamua kusepa babu? jeshi la mtu mmoja mi siliweziSi tulisema zamu yetu sie imehitimishwa na kwamba mngeendelea kutupa maufundi ya kuwahi miadi?
Naona umetimua na kumwachia mkubwa mwenzangu @FP..siyo fair unajua wewe?
Babu DC!!
Wewe Kongosho?
Umeanza lini haya mambo? Mie nilifundishwa enzi hizo kwamba aibu ni mdogo wake shetani.....kwa hiyo hata wewe una undugu na shetani??
Ngoja nimwite Bibi anipe msaada hapa...
Babu DC!!
babu nilienda kuwahi kuhamisha goli mwenzio oh!Si tulisema zamu yetu sie imehitimishwa na kwamba mngeendelea kutupa maufundi ya kuwahi miadi?
Naona umetimua na kumwachia mkubwa mwenzangu @FP..siyo fair unajua wewe?
Babu DC!!
Nimekusoma Blue G na nadhani nimekuelewa..
Unachosema ni kuwa ni kweli macho 'yanaona'..ila tafsiri ya kionwacho inategemea sasa 'intimacy' ya wahusika..right?
Unadhani hii hali huwa inafika sehemu 'muonaji' anaona bila chenga?...Manake kuna hoja hapa kuwa penzi likiwa changa 'upofu' ni mwingi..na as time goes on 'kipofu' uanza kuona bila chenga..unasemaje hapa??.............
Kongosho weee i cant believe this niliko bold ni ukweli??? haha haaaaaaa
Haya loliz nimekuelewa kwani hapa tupo kubadilishana mawazo na kutoana ujinga.
Vipi wale ambao ni waaminifu kwa wenzi wao, je tutawaita jina gani ni vipofu au?