Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Hapa naona dalili za kolabo ya ukubwani inanukia..

Ngoja kwana nikamsomeshe Bibi...lol!!

Babu DC!!
bibi kapitia JKT?
unafikiri mpaka kupata hela za kujengea shule mabomu yake yatakuwa madogomadogo?
hapo mtu kama huna shabaha basi hata mbio uwe nazo....
 
Nime-edit mkubwa mwenzangu...

Naona hilo neno limekutisha sana....

Ndo ukubwa lakini...

Babu DC!!
kuna vitu havipimiki kwa umri.......
nakumbuka kuna siku mama mmoja alikuwa anashangaa jinsi binti zake wanavyoyajua makitu ambapo yeye kwa experience yake ya karne kadhaa anatoka kapa.
chezeya ulimwengu wa analogy weye!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ha ha haaaa, I hope hakukuangushia ngumi kidogo, how could you?
ila babu hii ni siri yako (siku ya kwanza niliapa sitarudia tena, na kuwashangaa sana dada zangu kwa nini walikuwa wanatoroka home? kwa kitu gani hasa?)
nilikuwa better-off kuishia kwenye I love you, I love you too, lol!


Utoto raha sana.....lol!!

Unawashangaa watu wazima wanafanya vitu ambavyo hata kichaa ataviogopa!

Babu DC!!
 
dada mkubwa na babu mi nawasubr mmlize mjue .kitu cha kuona dadmkubwa anawekesha kolabo la ukubwani huku akimchimba mkwara bib kama ashaenda JKT si mchezooo.
 
Shikamoo Damkubwa mie niko bomba, salam nyingi kwa Teja, Mamkubwa, Mamdogo, twins na nanihii 🙂

m
marahabaaa rafiki yangu....
woote wamesikia salamu zao nao wanakusalimu sana, ila huyo nanihii......., lol! mi simo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahah lol! Nitamcall basi mwenyewe ili nimfikishie salam zake kama Damkubwa umeamua kususa 🙂


marahabaaa rafiki yangu....
woote wamesikia salamu zao nao wanakusalimu sana, ila huyo nanihii......., lol! mi simo
 
Impossible, when you are in love u cant see, and thats love
 
Hahahahah lol! Nitamcall basi mwenyewe ili nimfikishie salam zake kama Damkubwa umeamua kususa 🙂
tena fanya hima maana anasema ana maujumbe yako ya kumwaga......... usiniulize yapi maana hayanihusu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
dada mkubwa na babu mi nawasubr mmlize mjue .kitu cha kuona dadmkubwa anawekesha kolabo la ukubwani huku akimchimba mkwara bib kama ashaenda JKT si mchezooo.


Si tulisema zamu yetu sie imehitimishwa na kwamba mngeendelea kutupa maufundi ya kuwahi miadi?

Naona umetimua na kumwachia mkubwa mwenzangu @FP..siyo fair unajua wewe?

Babu DC!!
 
Kweli mapenzi ni upofu, na kila binadamu kawekewa wake mmoja tuu ambaye atamfanya kujisikia hivyo,kama unae shikamana,kama hujapata yupo anakuja, Mungu hana roho mbaya kabiiiisaaa
 
Si tulisema zamu yetu sie imehitimishwa na kwamba mngeendelea kutupa maufundi ya kuwahi miadi?

Naona umetimua na kumwachia mkubwa mwenzangu @FP..siyo fair unajua wewe?

Babu DC!!
si ndo maana na mimi nikaamua kusepa babu? jeshi la mtu mmoja mi siliwezi
 
ha ha ha, aibu ni mdogo wa shetani?

Mwite bibi akusaidie, maana mie aibu hadi magotini.

Wewe Kongosho?

Umeanza lini haya mambo? Mie nilifundishwa enzi hizo kwamba aibu ni mdogo wake shetani.....kwa hiyo hata wewe una undugu na shetani??

Ngoja nimwite Bibi anipe msaada hapa...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Si tulisema zamu yetu sie imehitimishwa na kwamba mngeendelea kutupa maufundi ya kuwahi miadi?

Naona umetimua na kumwachia mkubwa mwenzangu @FP..siyo fair unajua wewe?

Babu DC!!
babu nilienda kuwahi kuhamisha goli mwenzio oh!
 
Yeah that's how is it young loving eyes does not see but as the time goes on ad the loving eyes starting growing old they start to see.hali ndivyo ilivyo mapenzi ya mwanzoni huwa yamejaa upofu wa kila aina ila yanavyozidi kupungua ndio hivyo macho nayo yanazidi kuona na kufunguka.hii ikiwa na maana kwamba mapezi au upendo hufunika makosa au mapungufu yote,ila mapenzi au upendo ukikosekana makosa huonekana waziwazi.Na ndio maana tukapewa amri ya upendo mf mpende jirani yako kwa moyo wako wote kwa kujua kuwa kukiwa na upendo kila kitu kitakuwa rahisi na kuishi vizuri kutakuwa rahisi as upendo utakuchochea kuona mazuri tu kwa mwenzio.
Nimekusoma Blue G na nadhani nimekuelewa..
Unachosema ni kuwa ni kweli macho 'yanaona'..ila tafsiri ya kionwacho inategemea sasa 'intimacy' ya wahusika..right?
Unadhani hii hali huwa inafika sehemu 'muonaji' anaona bila chenga?...Manake kuna hoja hapa kuwa penzi likiwa changa 'upofu' ni mwingi..na as time goes on 'kipofu' uanza kuona bila chenga..unasemaje hapa??.............
 
Utaweza kumwita BIbi??

Kama unao ubavu basi jaribu uone kasheshe yake...

Ngoja nimwite Smile aje ashuhudie moto unavyokuwakia...
Kongosho hata ukimwita, she is as harmless as lukewarm water...!!

Babu DC!!
Kongosho weee i cant believe this niliko bold ni ukweli??? haha haaaaaaa
Babu mi naghairi simwiti Bibi nakutunzia tu heshima yako lolz
 
Last edited by a moderator:
Haya loliz nimekuelewa kwani hapa tupo kubadilishana mawazo na kutoana ujinga.

Vipi wale ambao ni waaminifu kwa wenzi wao, je tutawaita jina gani ni vipofu au?


kulingana na definition yako ... basi hao watakuwa sio vipofu, but uki define kivingine upofu unawahusu!
 
Back
Top Bottom