Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

yaani mimi sina mbavu hapa nilipo..... hii mifano yako yaani inawatokeaga sana tu.....
nasema inawatokeaga sana tu sababu siyo kawaida yenu kutandika kitanda mara kumi mpaka pale inapobidi, lol!.....
sasa itokee umeshadeki na kutandika sana halafu ukajikuta mpaka giza linaingia, hola...... (enzi zile wakati hakuna vilongalonga vya viganjani, simu mpaka kwa jirani, lol!)
 
I wish I can

LAkini ndo basi tena, samaki aliwa tuuu, na magamba mwampara, pande mbili mwamgeuza lol!!

hahhaah basi relax Kongosho and enjoy what nature dictates....lol hapo pengine kuna mtu alikuwa amenioffer study tour kwenda ule upande mwingine kujifunza, lakini haya yaliyotokea yamenikata stimu kabisa:lying::A S shade:
 
Last edited by a moderator:
Babu, i have a confession here

Ila kwa sababu za ki-public affais zitasema

Ila mnajua kujiandaa, gadem it, hadi raha.

Unakuta mtu ana house keepers kama 4, lakini siku hiyo hawaamini, anafanya mwenyewe usafi chumbani.

 
ahahaahhahhaa we acha tu!af ukute mzee k kakaa sebuleni kwake na huwezi kuchomoka kwenda kokote unatamnije upae sasa na huku unajua watu wanadeki mara sita sita huko mweee!jamani jamani!hebu mi nikahamishe goli langu sa hz
ahahahhhah ila The Boss umeniacha hoi!lol!
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kuwa kipofu milele

Ila sema kuna mapungufu ya mtu yanayovumilika.

Raha anayokupa ukilinganisha na mapungufu yake huoni kama mzigo

Unakula maisha kwa raha tu

This what I said from the start...

Huwezi kuwa kipofu forever hata kama ni limbwata bwana....

I don't believe in that kind of love...!

Babu DC!!
 
FP naomba nikuhakikishie kwamba hata sasa hivi kilonga longa chazimwa ati! unabaki kushangaa tu afu unakuja kuambiwa 'simu iliisha chaji':eyeroll1:
 
Last edited by a moderator:


Haya ndiyo tunayoyasema mapenzi ni imotional zaidi na ukijaribu kutumia akili basi hayo si mapenzi..

Ukiona unafanya kitu kwa mpenzi wako kimamuudhi halafu wewe hupati hisia za aina yoyote, basi chapa lapa kwani huyo utakuwa humpendi....

Ukipenda mtu, hata akipiga chafya tu wewe unaugua homa.....

Ila Mungu naye mjanja...angeacha hayo mambo hadi ukubwani basi dunia yote ingekuwa inaishi Mirembe...

Babu DC!!
 
usijali my dear....
kwanza ngoja nichukue haki yangu "marahaba mdogo wangu"
endeleza tu hizo story na babu
babu leo anafunguka hapa!mi nipo tu kwenye mkeka namsikiliza af kuna siku nitamkumbusha hizi story
 
Naona tunamkuza hapa...
Ila ni vizuri akiyajua haya kungali mapema
Maana kuzaliwa mwanaume ni kazi...lolz
Upofu wako na malimbwata yaani full dose...

Mzee mwenzangu Dark City huyu saudari bado mdogo akifika madarasa ya juu ndo tutaingia kipindi kumfundisha sasa hivi walimu wake ni @mzabizabi and Co lol
 
Huwezi kuwa kipofu milele

Ila sema kuna mapungufu ya mtu yanayovumilika.

Raha anayokupa ukilinganisha na mapungufu yake huoni kama mzigo

Unakula maisha kwa raha tu

meooona enh!
 
Mmh, angalia study tour isikufanye ukawa profesor wa hiyo sekta

wish you all the best

hahhaah basi relax Kongosho and enjoy what nature dictates....lol hapo pengine kuna mtu alikuwa amenioffer study tour kwenda ule upande mwingine kujifunza, lakini haya yaliyotokea yamenikata stimu kabisa:lying::A S shade:
 
si bora mzee K anakuwa amekaa tu sebuleni, unaweza kujifanya kama unaenda kuchukua kitu huko nyuma unasepa kwa mlango wa nyuma. akiwepo mama k yeye sasa ndo balaa linapoanzia, anatuma hiki mara kile, na kila unapomaliza alichotuma lazima ukaripoti kwa ukaguzi, kuna kuchomoka hapo?
 
Naona tunamkuza hapa...
Ila ni vizuri akiyajua haya kungali mapema
Maana kuzaliwa mwanaume ni kazi...lolz
Upofu wako na malimbwata yaani full dose...
ina maana pacha limbwata akichanganyiwa mwenye upofu si ndio uzezeta wenyewe huo lakini!au ah banaaa hiyo itakuwa beyond borders!
leo namtwanga swali kila mkaka aliyepo kwenye hii thread!
pacha ulishawahi kuhamishiwa goli?inakuwaje?
 
HE he he he, ngoja nipige chafya nione kama utaugua homa

Tyaaaa!!!!!!, babu umeugua?

 
Na mimi nakubali babu kuna stage upofu haukwepeki na kuna stage unaona hata visvyoonekana..

Ila sasa naanza kukubali 'upofu' ndio mapenzi yenyewe..

Na kadiri unavyoaanza kufunguka macho basi jua na penzi nalo linakaribia asubuhi...lolz

This what I said from the start...

Huwezi kuwa kipofu forever hata kama ni limbwata bwana....

I don't believe in that kind of love...!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…