Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

si bora mzee K anakuwa amekaa tu sebuleni, unaweza kujifanya kama unaenda kuchukua kitu huko nyuma unasepa kwa mlango wa nyuma. akiwepo mama k yeye sasa ndo balaa linapoanzia, anatuma hiki mara kile, na kila unapomaliza alichotuma lazima ukaripoti kwa ukaguzi, kuna kuchomoka hapo?

ahahahhahahhah dada mkubwaaaaa!umenikumbusha mbali sana i see!mweh!
TUMETOKA MBALI SANA!mnoooo!
 
FP naomba nikuhakikishie kwamba hata sasa hivi kilonga longa chazimwa ati! unabaki kushangaa tu afu unakuja kuambiwa 'simu iliisha chaji':eyeroll1:
ha ha haaaa, hapo sasa ndo mchezo unaponoga....
maana hapo utapeli unakuwa umeingilia kati, si mapenzi.
 
Got your concern here SnowBall,ninachoamini mimi ni kuwa loving eyes does not see ina maana ya kwamba mapenzi ya dhati na ya kutoka moyoni hayawezi kuona mapungufu au mabaya ya yule umpendaye na hata yakiona hupunguza ukubwa wa yale mabaya na kuyafanya yaonekane ni madogo sana na ya kawaida,na hii hutokea automatically coz mtu anayekuwa amekutwa na hali hii huwa hajioni wala hajitambui ye anaona yupo sawa kabisa.Na kiukweli kabisa ni wachache sana ambao wamejaaliwa loving eyes that sees maanake ukiangalia kundi kubwa la watu linafall kwenye hii category ya loving eyes does not see.
Wanabodi salama?

Najua ni BLUE MONDAY..lakini sio issue sana mradi jamvi lipo naamini hakuna kinachoharibika... Kumekuwepo na 'myth' kwamba LOVE IS BLIND...ikimaanisha kuwa mara nyingi mapenzi ni UPOFU..na unapokuwa unampenda mtu huwezi kuona hata yale yanayoonekana kwa wenzio (kwa wale waabudu limbwata mtanisamehe..hapa naongelea mapenzi yasiyo na catalyst yeyote....)

Gwiji wa miondoko laini (blues) Michael Bolton katika wimbo wake wa 'WHEN A MAN LOVES A WOMAN anasema hivi..na hapa namquote


Sasa hapa ndio najiuliza hivi ni kweli 'loving eyes can never see'?....hebu EMT, Mtambuzi , snowhite , gfsonwin , King'asti , BADILI TABIA , AshaDii , Dark City , saudari , lara 1 , nivea , Mr Rocky Eiyer na wengineo wote nisaidieni hapa..Nataka nione at the same time nipende....

Karibuni..........
 
Last edited by a moderator:
Upofu plus limbwata...sipati picha utakuwa kiumbe wa namna gani..
Kuhamisha goli nadhani [MENTION]Dark City [/MENTION] na The Boss wanaweza kulisemea..
Manake mengine tunayapatia hapa hapa jf.....kitu hallucination ulikuwa unakijua?


ina maana pacha limbwata akichanganyiwa mwenye upofu si ndio uzezeta wenyewe huo lakini!au ah banaaa hiyo itakuwa beyond borders!
leo namtwanga swali kila mkaka aliyepo kwenye hii thread!
pacha ulishawahi kuhamishiwa goli?inakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Haya ndiyo tunayoyasema mapenzi ni imotional zaidi na ukijaribu kutumia akili basi hayo si mapenzi..

Ukiona unafanya kitu kwa mpenzi wako kimamuudhi halafu wewe hupati hisia za aina yoyote, basi chapa lapa kwani huyo utakuwa humpendi....

Ukipenda mtu, hata akipiga chafya tu wewe unaugua homa.....

Ila Mungu naye mjanja...angeacha hayo mambo hadi ukubwani basi dunia yote ingekuwa inaishi Mirembe...

Babu DC!!
wewe babu sema tu hayajakukuta siku za karibuni.....
juzi hapa kuna kitu kilitokea mimi na teja wangu wote bado tulazwe....
mbaya zaidi kila mtu alikuwa mbali na mwenzie........ haya mambo sijui yapoje aiseee.
watu wazima mnaweza mkarudia u-teen hivi hivi mnajiona
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha, babu leo umenichekesha

Sijui ivi 'guts' umezitoa wapi lately?


Hebu acha udhalilishaji wa watu wazima wewe.....

Mbona guts ninazo siku zote na zimejaa hadi mdomoni...

Kuna doubt juu ya hilo??

​Retired Maj Gen DC (1947)...dc@jamiiforums.com
 
Huyo kaingizwa mkenge na avatar,

Hivi tukiitumia hii avatar yako kwenye mkakati wa giza hatuwezi kujenga kaghorofa kweli??

babu DC!!
ndo maana soon nitarudisha ile graph yangu.....
maana naona sasa nazidi ku-mislead vijana wengi sana.
kaghorofa nilishajenga na hata prado nimeshapata (kwa hii hii avatar, lol!). labda tufanye kolabo tujenge shule..... maana hapo panahitaji bodyguard
 
yaani mimi sina mbavu hapa nilipo..... hii mifano yako yaani inawatokeaga sana tu.....
nasema inawatokeaga sana tu sababu siyo kawaida yenu kutandika kitanda mara kumi mpaka pale inapobidi, lol!.....
sasa itokee umeshadeki na kutandika sana halafu ukajikuta mpaka giza linaingia, hola...... (enzi zile wakati hakuna vilongalonga vya viganjani, simu mpaka kwa jirani, lol!)


Bora kuumwa jino kuliko kukutana na missed opportunity kama hiyo....

Ningekuwa singer nigetunga wimbo kuhusu hiyo experience....

Nyingine inayouma sana ni kuachwa nje ya geti....

Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhh,

Evolution ya binadamu ni kiboko..

Babu DC!!
 
Nimekusoma Blue G na nadhani nimekuelewa..
Unachosema ni kuwa ni kweli macho 'yanaona'..ila tafsiri ya kionwacho inategemea sasa 'intimacy' ya wahusika..right?
Unadhani hii hali huwa inafika sehemu 'muonaji' anaona bila chenga?...Manake kuna hoja hapa kuwa penzi likiwa changa 'upofu' ni mwingi..na as time goes on 'kipofu' uanza kuona bila chenga..unasemaje hapa??.............

Got your concern here SnowBall,ninachoamini mimi ni kuwa loving eyes does not see ina maana ya kwamba mapenzi ya dhati na ya kutoka moyoni hayawezi kuona mapungufu au mabaya ya yule umpendaye na hata yakiona hupunguza ukubwa wa yale mabaya na kuyafanya yaonekane ni madogo sana na ya kawaida,na hii hutokea automatically coz mtu anayekuwa amekutwa na hali hii huwa hajioni wala hajitambui ye anaona yupo sawa kabisa.Na kiukweli kabisa ni wachache sana ambao wamejaaliwa loving eyes that sees maanake ukiangalia kundi kubwa la watu linafall kwenye hii category ya loving eyes does not see.
 
Last edited by a moderator:
So, you mean its something uncontrollable and unconditional..right?Kwamba ukishafall in love with somebody unapoteza ile 'reasoning' power yako na unafanya judgements na decision based on you 'emotional feelings'?....Lakini wakati mwingine nadhani unaweza pia kunampenda mtu na unaona kabisa afanyayo sio sahihi.
reasoning power inapungua kwa noticable amount.
but unafanya just kumfurahisha ili asikasirike though moyo wako unajua kabisa amechemka..unafanya 'makusudi' kutoona but in reality you just see na unaujua ukweli...Huu unaweza usiwe upofu bali ni 'pretendence'.
sometimes its easier kuepuka shari, wenzi wengine ukiwanunia kidogo tuu wanawaka kama "gesi ya mtwara" lol
I still think unaweza ukawa impartial kwenye maamuzi hata kama yanainvolve your partner...kikubwa do it from the get go...
utaachwa bcoz ataona haumjali, umesahau wadada wanavyodeka wakati wa kumtongoza halafu unamwambia laivu leo hujapendeza, siwezi kukutumia vocha, nipo busy etc. utabaki na midoli lol
 
Back
Top Bottom