Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si bora mzee K anakuwa amekaa tu sebuleni, unaweza kujifanya kama unaenda kuchukua kitu huko nyuma unasepa kwa mlango wa nyuma. akiwepo mama k yeye sasa ndo balaa linapoanzia, anatuma hiki mara kile, na kila unapomaliza alichotuma lazima ukaripoti kwa ukaguzi, kuna kuchomoka hapo?
Ha ha ha, nataka KIng na Joker
Si unajua Joker liko wapi?
ha ha haaaa, hapo sasa ndo mchezo unaponoga....FP naomba nikuhakikishie kwamba hata sasa hivi kilonga longa chazimwa ati! unabaki kushangaa tu afu unakuja kuambiwa 'simu iliisha chaji':eyeroll1:
Sijui...
Hebu nambie basi kajukuu..lol!!
Babu DC!!
Wanabodi salama?
Najua ni BLUE MONDAY..lakini sio issue sana mradi jamvi lipo naamini hakuna kinachoharibika... Kumekuwepo na 'myth' kwamba LOVE IS BLIND...ikimaanisha kuwa mara nyingi mapenzi ni UPOFU..na unapokuwa unampenda mtu huwezi kuona hata yale yanayoonekana kwa wenzio (kwa wale waabudu limbwata mtanisamehe..hapa naongelea mapenzi yasiyo na catalyst yeyote....)
Gwiji wa miondoko laini (blues) Michael Bolton katika wimbo wake wa 'WHEN A MAN LOVES A WOMAN anasema hivi..na hapa namquote
Sasa hapa ndio najiuliza hivi ni kweli 'loving eyes can never see'?....hebu EMT, Mtambuzi , snowhite , gfsonwin , King'asti , BADILI TABIA , AshaDii , Dark City , saudari , lara 1 , nivea , Mr Rocky Eiyer na wengineo wote nisaidieni hapa..Nataka nione at the same time nipende....
Karibuni..........
ina maana pacha limbwata akichanganyiwa mwenye upofu si ndio uzezeta wenyewe huo lakini!au ah banaaa hiyo itakuwa beyond borders!
leo namtwanga swali kila mkaka aliyepo kwenye hii thread!
pacha ulishawahi kuhamishiwa goli?inakuwaje?
wewe babu sema tu hayajakukuta siku za karibuni.....Haya ndiyo tunayoyasema mapenzi ni imotional zaidi na ukijaribu kutumia akili basi hayo si mapenzi..
Ukiona unafanya kitu kwa mpenzi wako kimamuudhi halafu wewe hupati hisia za aina yoyote, basi chapa lapa kwani huyo utakuwa humpendi....
Ukipenda mtu, hata akipiga chafya tu wewe unaugua homa.....
Ila Mungu naye mjanja...angeacha hayo mambo hadi ukubwani basi dunia yote ingekuwa inaishi Mirembe...
Babu DC!!
Tena mwamnzie miguuni ili afe taratiibu
Ha ha ha ha ha ha ha ha, babu leo umenichekesha
Sijui ivi 'guts' umezitoa wapi lately?
ndo maana soon nitarudisha ile graph yangu.....Huyo kaingizwa mkenge na avatar,
Hivi tukiitumia hii avatar yako kwenye mkakati wa giza hatuwezi kujenga kaghorofa kweli??
babu DC!!
yaani mimi sina mbavu hapa nilipo..... hii mifano yako yaani inawatokeaga sana tu.....
nasema inawatokeaga sana tu sababu siyo kawaida yenu kutandika kitanda mara kumi mpaka pale inapobidi, lol!.....
sasa itokee umeshadeki na kutandika sana halafu ukajikuta mpaka giza linaingia, hola...... (enzi zile wakati hakuna vilongalonga vya viganjani, simu mpaka kwa jirani, lol!)
Got your concern here SnowBall,ninachoamini mimi ni kuwa loving eyes does not see ina maana ya kwamba mapenzi ya dhati na ya kutoka moyoni hayawezi kuona mapungufu au mabaya ya yule umpendaye na hata yakiona hupunguza ukubwa wa yale mabaya na kuyafanya yaonekane ni madogo sana na ya kawaida,na hii hutokea automatically coz mtu anayekuwa amekutwa na hali hii huwa hajioni wala hajitambui ye anaona yupo sawa kabisa.Na kiukweli kabisa ni wachache sana ambao wamejaaliwa loving eyes that sees maanake ukiangalia kundi kubwa la watu linafall kwenye hii category ya loving eyes does not see.
reasoning power inapungua kwa noticable amount.So, you mean its something uncontrollable and unconditional..right?Kwamba ukishafall in love with somebody unapoteza ile 'reasoning' power yako na unafanya judgements na decision based on you 'emotional feelings'?....Lakini wakati mwingine nadhani unaweza pia kunampenda mtu na unaona kabisa afanyayo sio sahihi.
sometimes its easier kuepuka shari, wenzi wengine ukiwanunia kidogo tuu wanawaka kama "gesi ya mtwara" lolbut unafanya just kumfurahisha ili asikasirike though moyo wako unajua kabisa amechemka..unafanya 'makusudi' kutoona but in reality you just see na unaujua ukweli...Huu unaweza usiwe upofu bali ni 'pretendence'.
utaachwa bcoz ataona haumjali, umesahau wadada wanavyodeka wakati wa kumtongoza halafu unamwambia laivu leo hujapendeza, siwezi kukutumia vocha, nipo busy etc. utabaki na midoli lolI still think unaweza ukawa impartial kwenye maamuzi hata kama yanainvolve your partner...kikubwa do it from the get go...