Car4Sale Canter tipper inauzwa

Car4Sale Canter tipper inauzwa

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
626
Habari ya muda huu wakuu..,

Poleni na majukumu ya Kila siku, bila kuwachosha nimekuja Kuna canter tan 3 inauzwa Bei ni sh. 16,500,000/- iko katika hali nzuri kabisa na sio ya udalali ipo nyumbani kimara mwisho mtaa wa matosa.
Contact: 0786412030

IMG-20201128-WA0002.jpg
IMG-20201128-WA0003.jpg
IMG-20201128-WA0004.jpg
IMG-20201128-WA0005.jpg
IMG-20201128-WA0006.jpg
 
Mbona imeandikwa ni tons 2 wewe unasema 3.
 
Engine yake na body yake ni kubwa zenye uwezo wa kubeba na kusukuma tan 3 mkuu
 
Habari ya muda huu wakuu..,

Poleni na majukumu ya Kila siku, bila kuwachosha nimekuja Kuna canter tan 3 inauzwa Bei ni sh. 16,500,000/- iko katika hali nzuri kabisa na sio ya udalali ipo nyumbani kimara mwisho mtaa wa matosa.
Contact: 0786412030
body imeandikwa 2 TON
 
Kadi haisomeki vizuri, Ila 4d35 ni engine nzuri. Hebu nitumie picha zake pm
 
Weka picha za engine yake, bonus cabin yake, picha za ndani pia ni muhimu kuxionyesha.
 
Mie ninalo la tani tatu canter mayai nauza 12 million
 
Back
Top Bottom