Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie ninalo la tani tatu canter mayai nauza 12 million
Mwanzangu nani ? Jf sina mwenzanguWeka picha zake hapa Kama mwenzio
Mwanzangu nani ? Jf sina mwenzangu
Nikianzisha wangu nitaweka picha piaAliyesnzisha uzi huu huoni aliweka Hadi picha za gari?
Nikianzisha wangu nitaweka picha pia
Ushauza?Mie ninalo la tani tatu canter mayai nauza 12 million
Deal nimefunga leo mkuuUshauza?
Bandugu nakumbushia tu gari bado ipo tuendelee kuwasiliana