Cap: Ni kama kimekuwa vazi la laana hapa Tanzania

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Cap. Kapero.

Ni moja ya mavazi yanayopendwa sana ulimwenguni tena na watu wema.

Lakini kwa nchi yetu, vazi hili binafsi nimekuwa nikilinasabisha na uhalifu.

Mara kwa mara matukio haramu ya utekaji ukitizama wale watekaji pale inapotokea wamerekodiwa hakosekani mmoja (au wawili au zaidi) mwenye kuvalia kapero.

Waliouwa watu Oktoba 29 baadhi yao walionekana wakiwa wamevakia kapero.

Mnamkumbuka yule jamaa alimtishia bastola Nape?

Je, vazi la cap limekuwa vazi la laana hapa Tanzania?
 
Mawazo ya mwenye akili finyu. Kwa hiyo hata suruali ni vazi la laana maana yake wakiwa wanakwenda kuua walivaa na suruali.

Basi tembea uchi
 
Cap. Kapero.

Ni moja ya mavazi yanayopendwa sana ulimwenguni tena na watu wema.

Lakini kwa nchi yetu, vazi hili binafsi nimekuwa nikilinasabisha na uhalifu.

Mara kwa mara matukio haramu ya utekaji ukitizama wale watekaji pale inapotokea wamerekodiwa hakosekani mmoja (au wawili au zaidi) mwenye kuvalia kapero.

Waliouwa watu Oktoba 29 baadhi yao walionekana wakiwa wamevakia kapero.

Mnamkumbuka yule jamaa alimtishia bastola Nape?

Je, vazi la cap limekuwa vazi la laana hapa Tanzania?
Mkuu hata boxer zimekua vazi la laani hapa tanzania..
 
Natafuta kofia za hivi
Wauzaji weka bei
1000270691.jpg
 
Back
Top Bottom