Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #41
hahaaaaaaa kumbe wewe kama yeye
Nah mi siyo kama yeye ila ni mshikaji wangu sana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaaaa kumbe wewe kama yeye
Umenitamanisha yale manyama yanayoning'inia na utamu wake, ningekuwa sijala ningenyanyuka sasa hivi. Nile halafu ningesogea bar kukalia viti virefu huku nikiangalia mpira kwenye skrini lao juu ya majani.
unaanza uchokozi eeee rudi home bana la sivyo sikupii
Kama unapenda keshokutwa njoo kwa Mpemba pande za Africana...
Kheee!Yup..huyo huyo.
Jamaa naona kala kona.
We utatombewaje demu wako halafu uje ulielie humu?
Kheee!
Nini?Ole wako na wewe....
Nini?
Nina kesi na wewe...
Lala wewee
Nilale mchana huu? We mbona hujalala?
Hope imeishaNina kesi na wewe...
Duh!!ndo nama watu wanauza mirungi ilimradi waende state wajue hata kiswa englishYou truly got it going on man. Another woulda been trippin' and flexin' for verification, but you just coolin' low-pro true playa's way. Attaman.
Ukweli ndio huo twatofautianaKuna watu sijui huwa mnafikiria nini kuandika umenichekesha sanaa