Cape Town Fish Market

Umenitamanisha yale manyama yanayoning'inia na utamu wake, ningekuwa sijala ningenyanyuka sasa hivi. Nile halafu ningesogea bar kukalia viti virefu huku nikiangalia mpira kwenye skrini lao juu ya majani.

Kama unapenda keshokutwa njoo kwa Mpemba pande za Africana...
 
Hao wamasai walinz waambie waache kushobokea wazungu. Msako umeanza ukipimwa ukakutwa njia lainiiii unalo
 
Kutoka #irishpub,chuibay,ctfm,ehehe bata bwana,kumbuka enzi hizo tunavua samaki hapo
 
Just wonderin 'bout the color of the monies you get in-return for the ads.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…