Capital sio mchezo kuipata

Unasema capital kazi kuipata na wakati unatumia gallaxy4!!,haujui kuwa tayari unachezea mtaji?
 
Pole mkuu ,never Give up, nchi ya ajabu sana ,Vijana wanataka kujiajiri mitaji changamoto.

Ushauri: mitaji ni changamoto kupata hakuna benki itakayokupa coz una start up business, na pia ukikopa kwa mtu atahitaji dhamana ya vitu. Jaribu katika hiyo biashara yako if inawezekana anza na 1 mill etc, ichangishe kutoka kwa ndugu na jamaa au weka akiba kidogo kidogo na utafute saccoss ambayo baada ya miezi kadhaa ya kusave wanaweza kukupa loan.
 
Hiyo ID yako imekaa ki wizi wizi nani akukopeshe?
 
Kwa nini usiweke hata Idea ya project yako tukaona kama inalipa tu wekeze wote?? Au wewe unataka kufanya kivyako vyako?
 

Asante kwa maelezo yako, lakini sina uwezo wa kukusaidia mtaji wa fedha, ninachoweza kukusaidia ni hicho cha kukushauri na kukuingiza katika ujasiriamli wa mtaji mdogo sana ambao ukiufanyia bidii baada ya muda mfupi unaweza ukalimbikiza mtaji unaouhitaji, yote itategemea na bidii yako tu.
 
Hiyo ID yako imekaa ki wizi wizi nani akukopeshe?

Mkuu Unaweza kuongea chochote kwani mdomo ni mali yako.
Kwa swala la ID inaonekana huna points Kwani mbona hata wewe Unajiita laki si pesa na inawezekana ukawa huna hata senti.

Kama unaona uzi hauna manufaa nao ni bora upite kimya tuu.
 
Last edited by a moderator:

Nashkuru mama kwa kunipa support hata ya ushauri. Ngoja niifikirie naweza kuifanyia kazi ikibidi.
Ubarikiwe
 
Kwa nini usiweke hata Idea ya project yako tukaona kama inalipa tu wekeze wote?? Au wewe unataka kufanya kivyako vyako?

Ingawa si vyema kulitangaza wazo la biashara kwani watu wanaweza kuku-overtake na kulitumia kwa manufaa yao.
Pia mimi wazo langu si wazo exactly bali ni opportunity ya wazi kabisa ya biashara na pia nimeshafanya process za mwanzoni kabisa za biashara kama kukata leseni na TIN.

Kilichonikwamisha ni Mtaji mkuu yaani I'm going to die soon for this.
 
Kwa nini usiweke hata Idea ya project yako tukaona kama inalipa tu wekeze wote?? Au wewe unataka kufanya kivyako vyako?

Weeeew nani anapenda yaliyomtokea SUGU kwa yule mla senene yamtokee!!! eti aweke wazo lake hadharani kesho umeruka nalo hewani
 

Tuma idea yako kwenye email hii: tonyhaule@hotmail.com

Itafanyiwa evaluation kama inafaa utapewa mtaji kwa interest rate ndogo sana. Kama ni idea za kila siku usitume please, mf: kufungua barbershop au duka la nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…