Cappuccino Man 💕

Cappuccino Man 💕

Mimi tokea uniache na ist yangu na kuifata ford ranger bhasi nmekuwa mtu wa kutoa likes

Lee......

Acha kunichokoza...

Mbona mie mwenyewe naburuza bajaji?!!

Ila unanisingizia, mbona sijawahi igwaya ist..!?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Lee......

Acha kunichokoza...

Mbona mie mwenyewe naburuza bajaji?!!

Ila unanisingizia, mbona sijawahi igwaya ist..!?
Kumbuka pale ubungo flyovers
 
Kasie ...the first time i saw your face , by Roberta flack
Sujawahi kukuangushaaaaa
enjoy this😃
 
Kasie Matata winding up 2021

We will miss these!

Aaahahahahahaaaaaa

Am not dying banaaa 😅😅

Au mna mpango wa kunifungia nisionekane humu ...!?
 
Ukiwa na mke kama Kassie siku zote utaenjoy maisha ya ndoa. Hata libido itakuwa inaongezeka kwa kasi sana. Muda wote utatamani uwe nawe kila sehemu.

To be honestly fair, you are my dream woman.
 
Uzi wa watu wa magari ya njano

890A76C0-798E-4D4F-9E2E-A9F2D90B80D7.jpeg

CCEC34AD-8429-4EE0-88FC-EA05DDEA7D59.jpeg

Wala hujakosea...😅.
 
Ukiwa na mke kama Kassie siku zote utaenjoy maisha ya ndoa. Hata libido itakuwa inaongezeka kwa kasi sana. Muda wote utatamani uwe nawe kila sehemu.

To be honestly fair, you are my dream woman.

Joshy.....

Sio tuu bichwa....

Kisiii kimetuna... sijui kimevimbaa...😜😜😜

Thank you..

Najiona bonge la matirio aahahahahaaa.

Kusifiwa raha sana, 🥂.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi km bibi mwenye mahaba yake mjini, [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Back
Top Bottom