Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Nawasogezeeni Habari Hii njema na nzuri kabisa kwa wake wasiopenda kuukubali ukweli mchungu.
Haya Kunyweni Kikombe Hiki👉Kiongozi wa Kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore, amewataka Wananchi wa Taifa hilo la Afrika Magharibi kuacha kabisa kufikiria kuhusu demokrasia na kusisitiza kuwa mfumo huo hauendani na mahitaji ya Nchi yao kwa sasa.
Traore ameitoa kauli hiyo wakati wa mahojiano yaliyorushwa na Televisheni ya Taifa, RTB ambapo alieleza kuwa msingi wa demokrasia haukujengwa kwa ajili ya mazingira ya Burkina Faso na kwamba msimamo wake kwa sasa ni kuwa Taifa hilo linapaswa kuzingatia mbinu mbadala za Uongozi zitakazoweka mbele usalama na utulivu wa Nchi badala ya mifumo ya kisiasa ya Magharibi.
Serikali ya Burkina Faso ambayo ilianza kuongozwa na Kapteni Traore baada ya mapinduzi ya kijeshi baada ya kuipindua Serikali nyingine ya Kijeshi Septemba 2022, mwaka jana 2025 ilitangaza kuvunja Tume ya Uchaguzi huku pia February 2026 Bunge la Nchi hiyo linaloongozwa na Wanajeshi likipiga marufuku Vyama vyote vya siasa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili