Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ayeNamkubali sana huyu mkali
Wakuu Trailer mpya ya Dead Men Tell No Tales imetoka. Na kwa muonekano wa trailer tu, asee movie itakuwa kali balaa.
AYe[emoji23][emoji23]jack sparow: did anyone see what i have just done??
bcoz am not gonna repeat it again..!!
imetoka?Mwezi wa 5 ka vile uko mbali ukiangalia hizo trailer zake 3 zilivyo kali!
Hahahahaa, rango alikua mtu wa fix kinoma. alipoulizwa aliwauwaje Jenkin's brothers kwa risasi moja katika sound zake akasahau mtu wa 7, alipoulizwa vipi kuhusu mtu wa 7 akajibu eti huyo wa 7 alikufa kwa infection. Mpaka leo rango is my favourite animation, na nkiboreka tu naicheki
Tarehe 29/May kama sikosei!imetoka?
Sio 26? Wamezingua sana..Tarehe 29/May kama sikosei!
Nipe mrejesho wa ule mkasa nikupe link uka download....Hivi dead men tell no tales ishatoka online kwa 720p au 1080p? Naisubiri sana but kila nkcheck nakuta HDCam