Captain Jack Sparrow

Tazameni na series kama spartacus na game of thrones full of quotations kama vitabu vya william shakespear...
"Do not shed tears, there is no greater victory than falling from earth as a freeman"(Hii naikubari sana)
"One day Rome will fade and cramble, yet your name will be rembered by those who yearn for freedom" (Kwa wasiopenda ccm na wanaonyanyaswa hii inawahusu)
"Not every venture ends in crimax, a fact well known to many women" (hii kweli kwa wanawake katika mapenzi, pia sio kila jambo zuri huisha likiwa zuri)
Kila nikitazama hizo series nafurahia sana wanavyotumia lugha..
 
kuna korean drama inaitwa SCARLET HEART RYEO kuna mtu kaigiza anambwembe za jack sparrow, anamuiga sana halafu wanafanana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uyu jamaa ni mzaha sana hahah jack sparrow ni sheeder mtu ssie na uoga kabisa yani unaeza sema ni mzembemjinga flani [emoji23][emoji23]
 
Mwezi wa 5 ka vile uko mbali ukiangalia hizo trailer zake 3 zilivyo kali!
 
Huku ķwa jack pana nifanya niwe mvumbuzi wa bidhaa mpya kwenye biashara zangu moja nakuwa mbunifu sana nakuwa nawaza sana ila Ukifatilia maswala ya wasenge wanaongoza hii nchi unakufa huku umekaa
 

Mkuu nimecheka hapa hadi watu wananishangaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliye na link ya part 5 (DEAD MEN TELL NO TAILS) anipatie..
 
Hivi dead men tell no tales ishatoka online kwa 720p au 1080p? Naisubiri sana but kila nkcheck nakuta HDCam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…