Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa, rango alikua mtu wa fix kinoma. alipoulizwa aliwauwaje Jenkin's brothers kwa risasi moja katika sound zake akasahau mtu wa 7, alipoulizwa vipi kuhusu mtu wa 7 akajibu eti huyo wa 7 alikufa kwa infection. Mpaka leo rango is my favourite animation, na nkiboreka tu naicheki
Mzee wa happy julianuary..Hahahaaa....mkuu king Julian naye ni habari ingine....
ushaangalia mortdecai hahaha jamaa fundi mnoMle kaigiza so cool and focused jamaa anajua sana aisee kila character anayoigiza anaendana nayo.
Hahaha unakumbuka vyema kabisa na kilochofanya mpaka kumwamini sound zake na kufikia kumpa u sheriff ni pale alipo muua yule eagle kibahati.maskini hata silaha yenyewe hajui kushika vizuri hahahaHahahahaa, rango alikua mtu wa fix kinoma. alipoulizwa aliwauwaje Jenkin's brothers kwa risasi moja katika sound zake akasahau mtu wa 7, alipoulizwa vipi kuhusu mtu wa 7 akajibu eti huyo wa 7 alikufa kwa infection. Mpaka leo rango is my favourite animation, na nkiboreka tu naicheki
Yah nimeiona yani jamaa anaweza kila sehemu alinichekesh alivyokuwa anaspy akanikumbusha cruzo kwenye pink pantherushaangalia mortdecai hahaha jamaa fundi mno
Hahaha wale malofa wawili wakabaki wanashangaaaGuards: this part is prohibited from civilians
Capt Jack: Ooh I haven't came across any, but if I see one I will let you know.
Uwa pananichekesha wakati yeye mwenyewe ni civilian
Pale anasema "maleke leke" [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]nliipendaga pale ametekwa na jamaa wakawa wanamwabudu amejichora macho mwenzake nae akatekwa kumwona Captain akamwambia help me nae jack akamwambia you help me
Curse of Black pearlsijaona hip ,nmeona na in the stranger tides[emoji16]
Yea Dead man's chestPale anasema "maleke leke" [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hiyo nzuri sana...hasa ukimtazama Dave Jones.na jeshi lake la WafuTafuta zoteee ndo utafaidi.. My favorite ni at worlds end
Sana napenda pale wale mini-jack wnavomshauriHiyo nzuri sana...hasa ukimtazama Dave Jones.na jeshi lake la Wafu
Dah..umenkumbusha mbali sana...Hiyo scene na wale jamaa warugarugaI am not Jack Sparrow, I am captain Jack Sparrow.
This day will be remembered as the day when you almost caught Capt Jack Sparrow.
[emoji106]Hivi si ndiye amecheza the tourist pia na angelina jolie
Sidhan..ila treller zake ajaonekana anaonekana jamaa flan wa SkyfalNamkubali sana jamaa.
Sema kuna wakati ilisemekana kuwa kwenye Dead men tell no tails hatakuwemo,, nilisikitika sana. Mwenye ufahamu na hili anijuze.
Sasa huyo Guard mwenyewe ..alikaa vibaya akaibiwa pochi ya ushuru na Jack[emoji23]Guards: this part is prohibited from civilians
Capt Jack: Ooh I haven't came across any, but if I see one I will let you know.
Uwa pananichekesha wakati yeye mwenyewe ni civilian
[emoji23][emoji23]mini-jack wanaendelea kutushangaza uwezo wa wenzetu ktk kutengeneza FilmsSana napenda pale wale mini-jack wnavomshauri
Jack mwizi hatari alimpa ela ya ushuru halafu akamuibia pochi.Sasa huyo Guard mwenyewe ..alikaa vibaya akaibiwa pochi ya ushuru na Jack[emoji23]
Rico anasema...fortunes are mere superstition s...king Julian anajibu...yethhh this stitions are super that's why you must listen to them..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa happy julianuary..
What is the meaning of julianuary if everyone gets to recieve a present...
jamaa he is full of himself na swagger zake na malice.
Nipe list ya movie zote alizocheza kesho weekend mkuuMh kama ni hivyo umebakiza mbili tuu...za kuangalia na ya tatu itakuwa mwaka huu