Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa, rango alikua mtu wa fix kinoma. alipoulizwa aliwauwaje Jenkin's brothers kwa risasi moja katika sound zake akasahau mtu wa 7, alipoulizwa vipi kuhusu mtu wa 7 akajibu eti huyo wa 7 alikufa kwa infection. Mpaka leo rango is my favourite animation, na nkiboreka tu naicheki