King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Wale nivilaza [emoji38] [emoji38] [emoji38]Sana sana kuna wale jamaa wawili mmoja anajicho bandia huwa sichoki kuwaangalia maana ni wanaongea na kufikiria ujinga mda wote[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni vilaza haswaaaa[emoji23][emoji23][emoji23].... Wananogesha sana ile movie toka ya pirate ya kwanza, kwenye dead man chest nako kule balaa...pale wapo msituni wanataka kuiba ule moyo[emoji23][emoji23][emoji23] wanavyo kimbizana!Wale nivilaza [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Duh mkuu nlikuwa nmeisahau jina asee maana ni kitambo nlivyo iangalia[emoji23][emoji23][emoji23]... Sema ile meli ni kiboko![emoji23][emoji23]ile meli inaitwa the flying Dutchman chini ya captaincy ya Davy Jones aka pweza mtu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]walaiNapitwa na mengi
Nimeitafuta hio series takribani siku mbili sijaipata...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]walai
Niko DarKama uko Morogoro town na unazihitaji ni pm mkuu...ninazo 4..curse of the Black Pearl, dead man's chest, the world's end na strange tides.
Umezikosa kwenye thepiratesbay.seNiko Dar
Mkuu siyo series bali ni franchise.Nimeitafuta hio series takribani siku mbili sijaipata...
Nisaidie list ya movie zote alizocheza John Deep[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]walai