inapokelewaje?Tanzia haipokelewi hivyo ndugu yangu...RIP John Komba.
Hebu tulinde heshima ya jukwaa hili.Pia utu! Ikitokea ni habari za uzushi naomba Moderators mrejee kanuni za JF
Duh kweli dunian tunapita....tulip hai zamu zetu bado.....R.I.P Komba, nani atawatungia nyimbo Ccm?