TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Sasa nyimbo za kampeni itakuwaje?
RIP Capt. John Damian Komba!
 
Sijui tutaimbiwa na nani nyimbo za uchaguzi.Wapi team CCM,R.I.P mkuu
 
Umechelewa kutupa taarifa,....kila mtu ana taarifa
 
Salamu zangu za pole ziende kwa familia ya John komba. Mungu R.I.P. KOMBA
 
Hebu tulinde heshima ya jukwaa hili.Pia utu! Ikitokea ni habari za uzushi naomba Moderators mrejee kanuni za JF

BREAKING NEWS

Mbunge wa mbinga kapten john komba amefariki muda mfupi uliopita kwa shambulio la moyo ( heart attack) alipo pelekwa hospitali ya TMJ alikuwa tayari ameshafariki dunia.
 
Amekufa kwa ugonjwa wa kisukari pale TMJ alipokua amelazwa
Source: EATV
 
Back
Top Bottom